Wewe ndio umekosa hoja kabisa umeamua kuja na vihoja!Kelele zinapigwa sana kwa sababu hizi
1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
Kwani Sheria zinazompa madaraka makubwa sana mheshimiwa Rais huwa zinatungwa na Rais wa nchi au huwa zinatungwa na Bunge ? !!Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki.
Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia
majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali kukopa hovyo. Tambua huyo mkuu wa nchi ana nia ovu juu ya taifa lake.
Matokeo yake ni haya tunayoyaona huko Loliondo na Bunge lipo kimya.
Tozo za ajabu ajabu zisizo na mashiko.
Safari za ajabu ajabu tu nje ya nchi.
Kula kwa urefu wa kamba yako ...ruksa.
View attachment 2273818
Duh!!Nasema hivi, huu ukhanithi wa mifumo yetu ya utawala, dhalimu ndio chanzo cha haya yote. Tazama ulipojikwaa na sio ulipoangukia. Sasa hivi faidi matokeo ya siasa za kishenzi za dhalimu, fullstop.
what CHATO ulale jirani na marehemuIli taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki.
Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia
majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali kukopa hovyo. Tambua huyo mkuu wa nchi ana nia ovu juu ya taifa lake.
Matokeo yake ni haya tunayoyaona huko Loliondo na Bunge lipo kimya.
Tozo za ajabu ajabu zisizo na mashiko.
Safari za ajabu ajabu tu nje ya nchi.
Kula kwa urefu wa kamba yako ...ruksa.
View attachment 2273818
DuuhNi kweli kumuondoa spika si halali lakini kumuondoa SUPUKA ndungai ilikuwa ni kwa maslahi mapana ya taifa yule haikufaa tu kumuondoa ilitakiwa sasa hivi awe jela kama siyo kuzimu
Huwa tunawaambia usiangalie ulipoangukia angalia wapi ulijikwaa ! Ili Mara nyingine usije ukaanguka tena !!Aisee nyie wanaccm wachumiatumbo naona mmechanganyikiwa. Tangu lini mmeanza kuamini Uhuru wa bunge na mahakama?
🤣🤣🤣imekula kwenu.
Rais Samia piga kazi Mama. Kaza zaidi Spana.
Jiwe alikua anakopa kimyakimya mikopo yenye masharti magumu halafu anatudanganya ni hela yetu yeye hakopiHuyu maza atauza nchi hii kwa madeni
Huyu nyakurungu wala sio ccm ni mfuasi sugu wa marehem mzeebaba na mpaka leo hataki kukubali kwamba alishadanjaUzuri mnafuana CCM kwa CCM.Mtakula jeuri yenu.
Kwanza iyo nguvu ya uholela wa madaraka kwa raisi alilundikiwa na nani km sio ilo bunge??Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki.
Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia
majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali kukopa hovyo. Tambua huyo mkuu wa nchi ana nia ovu juu ya taifa lake.
Matokeo yake ni haya tunayoyaona huko Loliondo na Bunge lipo kimya.
Tozo za ajabu ajabu zisizo na mashiko.
Safari za ajabu ajabu tu nje ya nchi.
Kula kwa urefu wa kamba yako ...ruksa.
View attachment 2273818
Huyu ni sukuma gang wala sio ccmAisee nyie wanaccm wachumiatumbo naona mmechanganyikiwa. Tangu lini mmeanza kuamini Uhuru wa bunge na mahakama?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]imekula kwenu.
Rais Samia piga kazi Mama. Kaza zaidi Spana.
Kumbe ni watu wawili tofauti?Huyu ni sukuma gang wala sio ccm
Hawasikii mpaka sasa sikio linavuja damu kama kengeHuwa tunawaambia usiangalie ulipoangukia angalia wapi ulijikwaa ! Ili Mara nyingine usije ukaanguka tena !!
Wewe ni bwege tu wa sukuma gang.Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki.
Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia
majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali kukopa hovyo. Tambua huyo mkuu wa nchi ana nia ovu juu ya taifa lake.
Matokeo yake ni haya tunayoyaona huko Loliondo na Bunge lipo kimya.
Tozo za ajabu ajabu zisizo na mashiko.
Safari za ajabu ajabu tu nje ya nchi.
Kula kwa urefu wa kamba yako ...ruksa.
View attachment 2273818
Ingewezekana hili kundi lingefutiliwa mbali tu maana ni hatarishiSukuma gang mnaangaika sana, baada ya Jiwe kufa mmukuwa kama misukule iliyofiwa mchawi wao. Umesahau mambo ya Jiwe unakomaa na mambo ya Mh Rais wetu kipenzi cha Watanzania.
Zinapigwa na sukuma gang tuKelele zinapigwa sana kwa sababu hizi
1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
Kakate rufaa ili jiwe lirudiWewe una chuki zako tu. Hatukusikia akitengeneza njama kumuondoa spika kisa tu anahoji serikali.
Mfuataeni jiwe wenu huko alikoHuyu maza atauza nchi hii kwa madeni
Umemaliza kaziMtalia lia sana. Imeisha hiyo.
Na wewe utaenda tuMfuataeni jiwe wenu huko aliko