Mkuu wa nchi yoyote anayeingilia majukumu ya Bunge kiasi cha kushawishi kiongozi wa Bunge ag'olewe, lazima ana nia ovu. Na haya ndio matokeo yake

Ni kweli kumuondoa spika si halali lakini kumuondoa SUPUKA ndungai ilikuwa ni kwa maslahi mapana ya taifa yule haikufaa tu kumuondoa ilitakiwa sasa hivi awe jela kama siyo kuzimu
 
Kelele zinapigwa sana kwa sababu hizi

1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
Wewe ndio umekosa hoja kabisa umeamua kuja na vihoja!

Samia ni raisi wa kwanza kutoka Zanzibar?
Ni raisi wa kwanza muisilamu?

Kama hii mada imekushinda nguvu ni bora utafute ulanzi upige kuliko kuleta mambo ya udini hapa.
 
Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki.

Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia
majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali kukopa hovyo. Tambua huyo mkuu wa nchi ana nia ovu juu ya taifa lake.

Matokeo yake ni haya tunayoyaona huko Loliondo na Bunge lipo kimya.

Tozo za ajabu ajabu zisizo na mashiko.

Safari za ajabu ajabu tu nje ya nchi.

Kula kwa urefu wa kamba yako ...ruksa.

View attachment 2273818
Kwani Sheria zinazompa madaraka makubwa sana mheshimiwa Rais huwa zinatungwa na Rais wa nchi au huwa zinatungwa na Bunge ? !!
 
Nasema hivi, huu ukhanithi wa mifumo yetu ya utawala, dhalimu ndio chanzo cha haya yote. Tazama ulipojikwaa na sio ulipoangukia. Sasa hivi faidi matokeo ya siasa za kishenzi za dhalimu, fullstop.
Duh!!
 
Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki.

Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia
majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali kukopa hovyo. Tambua huyo mkuu wa nchi ana nia ovu juu ya taifa lake.

Matokeo yake ni haya tunayoyaona huko Loliondo na Bunge lipo kimya.

Tozo za ajabu ajabu zisizo na mashiko.

Safari za ajabu ajabu tu nje ya nchi.

Kula kwa urefu wa kamba yako ...ruksa.

View attachment 2273818
what CHATO ulale jirani na marehemu
 
Ni kweli kumuondoa spika si halali lakini kumuondoa SUPUKA ndungai ilikuwa ni kwa maslahi mapana ya taifa yule haikufaa tu kumuondoa ilitakiwa sasa hivi awe jela kama siyo kuzimu
Duuh
 
Aisee nyie wanaccm wachumiatumbo naona mmechanganyikiwa. Tangu lini mmeanza kuamini Uhuru wa bunge na mahakama?
🤣🤣🤣imekula kwenu.

Rais Samia piga kazi Mama. Kaza zaidi Spana.
Huwa tunawaambia usiangalie ulipoangukia angalia wapi ulijikwaa ! Ili Mara nyingine usije ukaanguka tena !!
 
Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki.

Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia
majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali kukopa hovyo. Tambua huyo mkuu wa nchi ana nia ovu juu ya taifa lake.

Matokeo yake ni haya tunayoyaona huko Loliondo na Bunge lipo kimya.

Tozo za ajabu ajabu zisizo na mashiko.

Safari za ajabu ajabu tu nje ya nchi.

Kula kwa urefu wa kamba yako ...ruksa.

View attachment 2273818
Kwanza iyo nguvu ya uholela wa madaraka kwa raisi alilundikiwa na nani km sio ilo bunge??

Na uyo ndugai si alikuwa mshiriki mzuri wa kuvunja katiba??
Waache wafu wazike wafu wao
 
Ili taifa lolote listawi vyema lazima mihimili mitatu ya dola iwe huru. Lazima Bunge liweze kuisimamia serikali. Mahakama iwe huru kutafasiri sheria na kutoa haki.

Lakini ukiona mkuu wa nchi anashinikiza nyuma ya pazia kumg'oa spika anayesimamia
majukumu yake kwa kuhoji fyongo za serikali kukopa hovyo. Tambua huyo mkuu wa nchi ana nia ovu juu ya taifa lake.

Matokeo yake ni haya tunayoyaona huko Loliondo na Bunge lipo kimya.

Tozo za ajabu ajabu zisizo na mashiko.

Safari za ajabu ajabu tu nje ya nchi.

Kula kwa urefu wa kamba yako ...ruksa.

View attachment 2273818
Wewe ni bwege tu wa sukuma gang.

Hata ukifanyaje mama Samia ndiye rais wa JMT na hakuna mtakachomfanya.
 
Sukuma gang mnaangaika sana, baada ya Jiwe kufa mmukuwa kama misukule iliyofiwa mchawi wao. Umesahau mambo ya Jiwe unakomaa na mambo ya Mh Rais wetu kipenzi cha Watanzania.
Ingewezekana hili kundi lingefutiliwa mbali tu maana ni hatarishi
 
Back
Top Bottom