TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoani Geita, Hamim Buzohera Gwiyama afariki dunia

Taarifa za ugonjwa ni siri ya mgonjwa na Daktari. Wewe unachofanya hapa ni kuongea UONGO
 
Mambo haya yanafikirisha:

1. Hawakuwahi kufa wakuu wa wilaya 2 ndani ya wiki 3.
2. Hawakuwahi kufa wabunge 3 ndani ya wiki 3.
3. Rais hakuwahi kubakia kwao kwa zaidi ya mwezi mzima.
4. Hatukuwahi kupata ugonjwa shughuli zote za shule zikastishwa.
5. Hatukuwahi kuwa na mazishi ya kusimamiwa na serikali.
6. Hatukuwahi kuwa na mazishi waombolezaji wasiozidi 10
7. Nk nk

Yote haya yanatokea katika kipindi hicho hicho.

Kweli haya hayahusiani na haka kaupepo?

Rais Magufuli dereva wetu kwa hakika unatupeleka kubaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…