Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba

wao wenyewe wameweka video zao telegram wakilawitiwa halafu uje kuwatisha kuwapiga picha wakiwa wamevaa madela uwaweke chanel ten, kiufupi wale washajikataa kitu ya kuitwa aibu, fedheha, haya nk kwao hio kitu haipo
kitu cha msingi wasiache tu kuwapiga pin hivi hivi kila siku wasizagae sana mitaani maana wana inspire wenzao maisha magumu
 
Sheria no 1 ya hii biashara lazima Uwe na bwana polisi unampa papa buree ikitokea changamoto Kama hii anakuja kukutoa fasta..........
 
Huku mtaani kwetu ni BIASHARA ya kawaida sana wapo kwenye Guest Bubu wanalipia chumba wao wenyewe halafu wanaume wanaingia kwa zamu.Wana anzia shilingi Elfu Nne na kuendelea.
 
Chalamila ameshindwa au ameamua kujiunga nao? "...if you can not defeat them join them"
 
Ni biashara kongwe zaidi duniani,
walikuwepo wakaondoka,
ataondoka pia ataiacha,
 
Mkuu wa wilaya ya Ubungo Hassan Bomboko usiku wa kuamkia jana alishutukiza katika moja ya sehemu ya Daguro kubwa la kujiuza eneo la Ubungo Riverside na kuagiza baadhi ya bar maeneo hayo kufungwa mpaka pale zitakapo fuata utaratibu unaotakiwa

Vipi mdau je hii ni njia sahihi ya kupunguza madaguro na madada powa katika maeneo mengi Nchini?
 
I'm
Sisi hatujui huo ni mtazamo wake kaona njia inafaa zaidi lk kafanya jambo sahihi
 
Picha zimepigwa na tutawaanika hadharani ili jamii iwatambue wanao sambaza virusi vya ukimwi.

Pia wenye nyumba wanao pangisha makahaba kama hawajachukua hatua basi watatangazwa hadharani.
Huoni hapo utakuwa unawasaidia kwenye masoko/kujitangaza kwa wateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…