Mkwara tu, Biden abadili gia angani, Mbona wanapigika?

Ukinipiga unanionea ukiniacha uniniogopa.hii imepelekea watu 2700 kuuwawa na wengine 1000 kuwa katika rubble(hamas na wafuasi wake)
Na wakati huu wenyewe wamekiri kuwa mashambulizi ya jana ni makubwa kuliko yaliyowahi tokea toka 1947
 
Pole mtapigwa sana na mnaendelea pigwa na uislamu wenu
Palestina hawapiganii uisilamu, unawajua PFLP? Unawajua watu kama George Habash? Siku zote hio Nchi Jews, Wakristo na waisilamu wapo pamoja. Sasa hivi Israel wana suppress jews ambao hawataki hio vita ila huoni media wakireport. Pia kuna report za Chini chini wanajeshi wengi wamekimbia hawataki kuua Watu wa sio na hatia.
 
Netanyahu:

"We need determination and patience because victory will take time and there will be difficult times."

"We want support from the home front, and there must be unity behind our soldiers."

"I say to Iran and Hezbollah, beware." he added.
 
Amir Abdollahian Iran's Foriegn Minister:

The time for political solutions is running out. And the possible expansion of the war in other fronts is approaching the inevitable stage
kwamba itaexpand wapi, hakuna lolote. iran ingekuwa threat kwa Israel, secretary state wa marekani juzi angeenda kufanya mazungumzo Iran. ukiona UK, na marekani wameweka manowari zao karibu na israel pale, jua kuwa aidha kuna jambo kubwa linakuja dhidi ya iran au hao wengine. iran anajua hatapigana na isarel peke yake atapigana na magaribi yote na uwezo huo hana.
 
Kitu ambacho kinanishangaza ni kwa nini Israel kambi zake za kijeshi zinakuwa ni rahisi sana kufanyiwa figisu kama hizo?
 
Swali rahisi jiulize kwa nini US, Uk, France, Germany n.k wote wamesema mshirika wa Iran (Hizbullah) asiingilie hii vita?

Ukumbuke pia Iran alifanya maamuzi magumu ambayo hayajawahi kufanywa na mataifa makubwa kipindi hiki cha karibuni kupiga kambi za US nchini Iraq na US akafyata mkia.

Fikiria kwa mapana! Usifikirie kwa mujibu wa vyombo vya habari vinavyokupatia habari!
 
I wish you could know intelligence tactics on war... Pole
 
hawataki vita isambae, ila wamejiandaa kwa lolote na ikitokea imesambaa, hayo mataifa umetaja wanao uwezo kuimaliza muda mfupi sana. sema washajua madhara yake kiuchumi wa dunia kwasababu iran ni mzalishaji mkubwa wa mafuta na gesi. ila deep in their hearts wanajua kuwa iran wakiamua kumpiga, hana uwezo kwenda muda mrefu atapigwa tu. kipindi kile iran ilishambulia kambi za marekani na marekani akanyamaza kwasababu wanavyosema, kweney sheria za vita marekani ndio alikuwa mchokozi, alimuua yule kamanda wa iran. historia ingewasuta san akwamba wao wamechokoza na wao pia wakaanza mashambulizi baada ya retaliation. ila hata wewe unajua kwamba iran hana ubavu wa kupigana na USA, ISRAEL, UK, FRANCE, GERMANY na EU kiujumla.

hana pumzi hiyo kiuchumi, kisilaha kwa lolote. israel ni nchi ndogo sana, ambayo kupigana gollilar war inakuwa ngumu kwao na costly, hawataki wawe wanafanya mashambulizi Lebanon na Gaza kwa wakati mmoja, ila inahitaji upungufu mkubwa sana wa akili kuamini kwamba Israel anawaogopa Hezbullah au Iran. juzi hezbullah waliporusha kombora, alishambulia lebanon, na alivuka zaidi akapiga hadi syria. asingefanya hivyo kama anaogopa hayo mataifa mengine. time will tell.
 
Ok! Que sera sera!
 
mimi kila mara nawaambia humu.VITA YENYEWE BADO SANA.
Huu manzoni tu.hyo ni saa ya mwisho wadunia.
 
Appear when you are strong, ndio strategy ili Iran ajae apigwe makonzi ya utosi.
 
Kitu ambacho kinanishangaza ni kwa nini Israel kambi zake za kijeshi zinakuwa ni rahisi sana kufanyiwa figisu kama hizo?
Watu wengi wasichotaka kuamini humu israel ni kama toto linalodeka, chochote kinachotokea anategemea USA imsaidie.

Baada ya Hili tukio la Ghafla tumeona Usa alivyo Anza kupeleka vifaa Israel, kama Kweli Israel wapo vizuri why Usa awe in state of Emergency kupeleka Vifaa na Meli za kivita kupigana na kakikundi kama Hamas?

Kuna video nyingi zinasambaa kuonesha Wanajeshi wa Reserve wa IDF wapo poorly Equipped.

Your browser is not able to display this video.


Sasa kama Hili sijui ndio Bwabwa maana wanavyozipeperusha hizo bendera


Hapa wakipeperusha bendera zao za kishoga
Your browser is not able to display this video.


Sasa watu kama hawa uwaingize kazini kweli mtaa kwa mtaa unategemea nini?

Ndio Maana Biden Haja Rule out kwa Wanajeshi wa Usa kuparticipate hii Vita, jamaa maji shingoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…