Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Anasubiriwa Iran ajichanganye ajumuishwe kwenye orodha ya magaidi duniani.Iran atamaliza hii vita.
Amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga. Ncha ya upanga wa Iran iko vizuri.
Vita ni vita muraVita ni Vita Mura mbona Ukraine wanapigwa na wenzao wa Dini moja?
Unaleta siasa za kale. Dini ni siasa za kale ndio mana kuna nchi na wakuu wa izo nchi ndio miungu yao ikaabudiwa .Sishabikii vita ninashabikia amani. Amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga.
Wewe ndiyo bIla kujua unashabikia vita.
"Maovu yote" ndiyo yepi? Na Tafadhali tutajie ili tulinganisha na imani zingine, usiharishe tu bi la kujuwa kujiosha.Uislamu na maovu yote ni kucha na kidole
Kumbe unafahamu kuwa Tel Aviv ni makao makuu ya kulawitiana ya Mashariki ya kati. Kudos, ulitembelea au ulisoma sehemu?Mngepigana na Israel bila kuingiza uislam huko kote tayari mngeshashinda saiz mngekuwa mnalawitiana Tel Aviv ujue, but tatizo mnaunganisha vita na uislam hapo ndo tatizo bibi, najiuliza mnapigania ardhi au msikiti? bt nashindwa kuwaelewa bado mtaendelea kupoteza hata hii mnapoteza na Israel inaweza kujimilikisa Gaza
W Wapalestina walijitakia wenyewe kweli, walipowachukuwana kuwapa hifadhi wakimbizi wakiyahudi wa Ulaya waliokuwa wanauliwa na wakatoliki.Mbona jamaa bado anaendelea kui bom tu gaza...........ila si wagaza walijitakia wenyewe
Unaleta siasa za kale. Dini ni siasa za kale ndio mana kuna nchi na wakuu wa izo nchi ndio miungu yao ikaabudiwa .
Mungu wa kweli atambui Nchi, Mungu wa kweli aliumba Mbingu na ardhi ili watu wote waishi juu ya iyo ardhi yani ukiona apa apakufai amia kule ni wewe na mchakaliko wako.
Mfumo wa kuwa na nchi sijui Taifa ni baadhi ya Watu kutaka kujipa mamlaka zaidi ya kuwatawala wengine na apo ndio zikazuka Dini, mala yakazuka madhehebu, kwa miaka ile Dini na madhehebu ndio sawa na vyama vya siasa kwa sasa.
Ni vizuri tukaombea amani maana wanaoteseka sio wanufaika wa ivo vita. Haijalishi nani ameshinda na nani ameshindwa Watoto wanateseka
Anasubiriwa Iran ajichanganye ajumuishwe kwenye orodha ya magaidi duniani.
Vipi kuhusu Urusi mnayemtegemea naye wapi?
Hao magaidi wa kiislamu, wanatakiwa wafunzwe adabu.
Vita ni vita mura
Libya na sudani ni waislamu 99% ila walichinjana km kuku na kugawana nchi.
Sudan mpk sasa waislamu wanagombea uongozi huku kundi la kigaidi la kiislamu Al shabab ndiyo linaongoza vita kwa kuua watu ovyo.
Kitendo cha askari wa aridhini wa israel kuingia palestina kuna toa picha kuwa hivi vita israel kapania ushind mnono.
Hili ni hatari kwa palestina maana anaenda kupoteza baadhi ya maeneo
Mtoto wa kijakazi hakuwa na eneo.
Al Shababu kwenye mgogoro wa Sudan? Uelewa wako uko Shallow sana Ndugu.Sudan mpk sasa waislamu wanagombea uongozi huku kundi la kigaidi la kiislamu Al shabab ndiyo linaongoza vita kwa kuua watu ovyo.
Uislamu huu au kuna mwingine?Mbona umeuingiza Uislam?
Uislam ni mwema sana kijana.
Unafikiri Al Shabab ipo Somalia? Ipo mpk SudanAl Shababu kwenye mgogoro wa Sudan? Uelewa wako uko Shallow sana Ndugu.
Unafikiri Al Shabab ipo Somalia? Ipo mpk Sudan
Vikundi vya kigaidi vya kiislamu vinafanya kazi sehemu yoyote na wanasaidiana.
Mozambique - Islamic State
Syria - Kuna Islamic State
na Al Shabab inafanya kazi Somalia na Sudan.
Acha kuropka
Mtoto wa kijakazi hakuwa na eneo.
Eneo lote ni la waisrael, hata kuwepo hapo mpalestina ni huruma ya Israel tu.