Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?

Milango ya ndege inaweza kufunguliwa Kwa nje pia. Siku nenda hata airport uulize maswali utapata upeo kidogo.
Vyombo vyote vya usafiri kasoro milango ya magari binafsi vina namna ya kufungua mlango kwa nje lakini iko kitaalam sana. Pengine shujaa aliweza kusoma maelezo ya namna ya kufungua
 
MIMI TOKA NILIPOSIKIA TU SIJUI KUNA KIJANA SHUJAA SIJUI KAOKOA WATU... RAIS KAPIGA SIMU AINGIE KAZINI MOJA KWA MOJA...

NIKAJUA WAZI... TAYARI... WASHAURI WA RAIS WA MASUALA YA KISIASA WASHAFANYA KAZI YAO...

HAKUNA KITU NI DRAMA TU. SIAMINI JAMBO LOLOTE LIKISHIKIWA KIDETE NA WANASIASA.
 
simple mbona wakati mhudumu anajaribu kufungua mango wa ndege at the sametime mahalia nae alikuwa ana hangaika kuufungua mlango huo huo hivyo ukajikuta umefunguka. ndo ilivyokuwa
Kweli unachosema mkuu yule majeruhi wa kwanza kuhojiwa ukimsikiliza mpaka mwisho na ukirudi kumsikiliza majaliwa unaona kabisa mlango ulifunguliwa na watu wa ndani majaliwa aliwakuta katika harakati hizo na yeye akahesabika kafungua.
 
Vyombo vyote vya usafiri kasoro milango ya magari binafsi vina namna ya kufungua mlango kwa nje lakini iko kitaalam sana. Pengine shujaa aliweza kusoma maelezo ya namna ya kufungua
Unaambiwa ni mvuvi ambaye shule aliishia njiani tu... Ina maana hata ndege ndio mara ya kwanza pale majini anaiona... Hiyo elimu kaipata wapi ya kuifahamu ndege na kufungua milango kwa nje.?
 
Unaambiwa ni mvuvi ambaye shule aliishia njiani tu... Ina maana hata ndege ndio mara ya kwanza pale majini anaiona... Hiyo elimu kaipata wapi ya kuifahamu ndege na kufungua milango kwa nje.?
Mkuu hapo ndipo maswali yanazidi kuongezeka.
Anyway hata kama hakufungua mlango lakini alisaidia majeruhi kuwapeleka nchi kavu
 
Pia liangalie la airhostess kuelekeza mlango ulipo wa dharura kisha kuufungua na bado ripoti inaeleza wahudumu wote wamepoteza maisha
Kwa maelezo ya yule majeruhi wa kwanza kwenye ndege shun ni muhudumu aliyewaelekeza mlango ulipo na kupambana kuufungua na katika harakati za kutoka nje akapoteza maisha ni bahati mbaya amepoteza maisha ila yeye ndio angeelezea vizuri sana hili sakata ilivyokuwa.
 
Nakumbuka Majaliwa alisema mlango ulikuwa umejam hivyo yeye amesaidia tu kuupiga ili ukubali kufunguka.
 
Itakuwa kanavuta bangi
 
Ukweli ni kuwa ruban aliufungua mlango wa emergency thus why dogo ilikuwa easy kuufungua
 
Kumbe story, mnaweza kuisikiliza wote, ila huyu akaelewa hivi na huyu hivi, mimi nilivyo muelewa, yule manusura hakujiokoa kupitia mlango wa dharula uliokua unafunguliwa na muhumu.

Maelezo ya yule manusura, ni kuwa, alimuona muhudumu wa ndege, akihangaika kufungua mlango wa dharula, ila hujui kama alifanikiwa, kwa maalezo haya, kuwa yeye hakupitia mlango, uliokua ukifunguliwa na muhudumu.
 
Milango ya ndege zote hufunguliwa kwa ndani na kwa nje pia, wameweka option hiyo maksudi in case kuna ahatari yoyote ndani kuna kasoro basi ndege ikitua mtu wa nje anaufungua. Ingekuwa hivo basi ndege wasingekuwa wanazifunga zikipaki
 
Mlango wa ndege kufunguliwa kwa nje,
tena kuvunjwa kwa kutumia kasia. Isitoshe ndege ilikuwa ndani ya maji.

Ni jinsi gani unaweza kupiga mlango mpaka ufunguke na ni ndani ya maji?

Mimi sikatai ila najaribu kuangalia ugumu uliopo.
God's intervention makes impossibles possible
 
Nikampungia mkono wa baibai kisha akasema kwaheri ya kuonana
 
Katapeli Sana kale pumbavu kabisa.
Na waliona wakikaacha uraiani kataaibika ndio sababu wamekahamishia kambini
 
AKA YA Majaliwa anakuambia mtaani anajulikana kama "Maja Mnyama." Dogo sound nyingi alafu hizo pesa anazopewa ingekuwa vizur angewapa na marafiki zake waliokuwa wote kwenye pirika za uokozi.
 
All in all watu wameokolewa na wengine wamekufa tusubiri ripoti ya uchunguzi.
 
Milango ya ndege hutumia Mannually mzee. Tuliza kichwa hiko utagundua dogo ni fix tu
wewe ndio utulize kichwa,unadhani ni jambo jepesi mtu kufungua mlango wa ndege ndani ya maji bila msaada kutoka nje???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…