financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
@troublemaker uje hukuuWewe mr right ulionana nae wapi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@troublemaker uje hukuuWewe mr right ulionana nae wapi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi na wife, tulikutana makaburini pale Buguruni mkabala na Sokoni. Na good enough kumbe na yeye alikua member wa Jf...teh!!
Kuna time huwa tunakumbushana tunacheka sana
Nyinyi mnashauliwa mwende pmNa ambao hatuna na hatujawahi kuwa na wapenzi tunaruhusiwa kucomment kwenye hii thread?[emoji848][emoji848][emoji848]
Mh Mjumbe, naona wewe bado hamjakutana na mpwa eehh...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe umeshangaa mkuuRumande?? kua mlifungwa 'Selo' moja au??
nimekuja mamaa, wanasemaje kwani?@troublemaker uje hukuu
Kwani hukumbuki tulivyokutana ama..??Kiaje?
Kitambo sana mh mjumbe, mtoto wa Area D hacheleweshi mambo[emoji2][emoji2]Mh Mjumbe, naona wewe bado hamjakutana na mpwa eehh...[emoji23][emoji23]
Kwani hukumbuki tulivyokutana ama..??
Kitambo sana mh mjumbe, mtoto wa Area D hacheleweshi mambo[emoji2][emoji2]
Ndio, nimeanza siku nyingi sanaHivi ni mimi au jaman lakin umeanza lini?
Ndio, nimeanza siku nyingi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo toka nihame hujui huoni kama umekuwa muongoo
Ngoja inone kwanzaMbn huniambiagi nije kula salary hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko uliko ni sawa na ukimbizini, Area D utarudi tu
Room lipo tena upweke hatari hapa, ebu fanya uje basi...Tutafute room basi nimechoka ukimbizini ujue
Ngoja inone kwanza
Room lipo tena upweke hatari hapa, ebu fanya uje basi...
6EK52C712D Imethibitishwa. Umepokea Tsh200,000.00 kutoka 25575775**** - Mwifwa mnamo 2/6/19 saa 9:07 PM. Salio lako la M-Pesa ni Tsh200,384.00.Niongezee kidogo basi iwe 1m nataka iphoneView attachment 1115606
Nakusubiri kwa hamu sanaHuko mbali ujue tarehe 20 natia maguu huko