Mlimani City walikuwa wanajiamini na nini hadi kumgomea Magufuli hivi? Inamilikiwa na nani?

Kwahiyo kwa mfano sasa hivi wapinzani bado wanazuiliwa kufanya mikutano yao ila ccm wanafanya, je ndio tutasema hili linaendelea kwa sababu Samia hafuatilii kila jambo hivyo hajui hili na hajalibariki? Kuna mambo mengine anayafanya mwenyewe Samia ila bado lawama zinaenda kwa washauri kwamba kashauriwa vibaya ila Magufuli haikuwa hivyo.
 
wengi halijui hilo wanabaki kua mashabiki maandazi tu
 
hakuna kiburi ambacho hakijawahi kushushwa. Mungu ni mmoja tu.
 
Tulia ww muumini wa shetani, ww ndio unatakiwa ukubaliane na maisha mapya maana mumeo yuko jehanamu.
kwamba mnakura raha sasa utawala huu,ila deap down mnaliwa na raha.
 

..Jpm pia alitoa kauli kwamba anataka kuufuta upinzani nchini.

..baada ya hapo tukaanza kuona wapinzani wanapata taabu toka kwa vyombo vya dola.

..sasa hapo kuna maswali mawili. Je, vyombo vya dola vilikuwa vinafanyia kazi kauli ya Jpm? Au, vyombo vya dola vilikuwa vinatekeleza majukumu yake ya kawaida.

..Pia kuna kauli Jpm aliitoa ya kumuita Lissu msaliti anayeongea na kutafuta taarifa toka kwa Deo Mwanyika [ sasa hivi mbunge wa Ccm]wa Barrick. Na akaweka msisitizo wasaliti wakati wa vita hawapaswi ku-survive.

..Baada ya shambulizi dhidi ya Lissu kuna maswali ambayo inabidi yaulizwe. Je, shambulizi lile lilitokana na kauli ya Jpm kumuita msaliti? Au shambulizi lile lilifanywa na watu tofauti kwa malengo wanayoyajua wenyewe?

..Ssh yeye ametoa kauli kwamba anataka kuboresha demokrasia nchini. Pia amesema yuko tayari kukosolewa, lakini kwa " heshima. " Zaidi Ssh amekutana na viongozi wa vyama vya upinzani.

..Matendo hayo yanawapiga ganzi wale ambao wangependa kumlaumu kwa muendelezo wa zuio la mikutano ya hadhara. Badala yake lawama zinaelekezwa kwa wasaidizi kwamba wanakwenda kinyume na malengo ya Ssh kuhusu demokrasia.

..Siku Ssh akitoa kauli hasi dhidi ya wapinzani. Na kauli hiyo ikafuatiwa na matendo ya kikatili au usumbufu dhidi yao, naamini lawama zitakwenda moja kwa moja kwa Ssh.
 
Chadema hawana shukran yaan mmetendewa mema bado tu mnahoji kwanini mmetendewa mema
 
Kinachonisikitisha watu wako busy kumsema magufuli hawajui nyani washavamia shamba tutavuna mabua,si mmeona leo budget ya wizara ya fella tirion 13 matumizi ya kawaida trillion moja ndo maendeleo
 
Bila kujali madaraka au cheo chako, kama ulizaliwa na kutoka kwenye uchi wa mwanake utakufa tu!
NA KUONDOKA NI BILA KITU.

NAKUMBUSHA TU SIKO KWAMBA HUJUI
 


Hv Chadema hamna ukumbi wa mkutano…pesa zote za walipa kodi mnapeleka wapi
 

Watanzania hatuhitaji demokrasia tunataka maendeleo…ningekuwa Raisi mimi binafsi ningevifuta vyama vyote kwanza….ni jenge nchi…maana hata hicho chama changu chenyewe hakifai business as usual maneno mengi action kidogo…kila mkutano wa chama iwe upinzani iwe tawala ni pesa…ya nini?! Demokrasi demokrasia wakati watu wanakufa kwa kukosa huduma muhimu…

Futilia mbali…ukipiga mahesabu ya pesa za ruzuku zilizotumika vs mafanikio ya hio ruzuku sioni…ni vurugu tu….kelele zisizo na tija…we need a powerful leader ambae hana bla bla yeye ni kujenga nchi kwa resources zote zilizokuwa chini yake…ambae anauwezo wa kupangua destructions bila kusita….maana mapepo yasiotaka maendeleo nchini kwao yapo…wako tayari kuwa na mabilioni kwenye account wakati kijijini kwake watu wanakufa kwa kushindwa kununua dawa..
 
Kama ingekuwa Sasha amelizungumzia hili jambo na kisha tukaona likiendelea hapo ndio kweli tungesema wasaidizi ndio wanaenda kinyume nae ila suala hili Sasha analijua na kuliona ila kakaa kimya na chama chake ndio kinafaidika halafu unataka tuseme hana lawama?
 
Huo ndio ukweli mchungu !!
 
Mbona kama umepanik mkuu?
 
Sukuma gang wamejua kuwa hawatakiwi kupewa nafasi yoyote ile tena, hata kuwa wafagizi wa choo cha manispaa sababu ya mtangulizi wao so ndiyo maana mko na hasira sana. Ombeni Russia na Ukraine vita yao watumie nyuki ili dunia ianze upya, bila hivyo hamtopata uongozi wowote tena nchi hii kwani Watanzania siyo wajinga. Pole
 

Wewe Mwenyewe Mbwa Koko.
 
Niiiiileeeeteeeeniiiiii Gwaaaaaajiiiiiiimaaaa. " Mkurugenzi nakulipa mshahara na usafiri nakupa halafu unamtangaza mpinzani"
 
Leo yamebaki mafuvu tu utadhani siyo yule aliyejifanya Mungu mtu.
Naanza kuamini na kuelewa Sasa nani yuko nyuma ya shambulio la Lissu kwenye makazi ya viongozi(area D). Ni mtu aliyekuwa na mamlaka makubwa,aliyeamuru hadi walinzi wasiwepo siku hiyo ya tukio na badae akaamuru cctv camera zinyofolewe na aliyeamuru asilipiwe garama za matibabu,na aliyeamuru Lissu afukuzwe ubunge na adhurumiwe stahiki zake.
 
Issue sio yule magufuli..issue ni ujinga wa watanzania.khali ilivyokuwa kipindi cha yule muuaji inawwza ikajirudia tena anytime soon..kwa sababu factors zilizochangia muuaji yule kufanya alivyofanya bado zipo hazijabadilika ambazo ni katiba ya kipumbavu na watanzania wwnye akili za mbuni..MUNGU alituepushana mtu yule..akatupa mda tujifunzena kurekebisha..next time hataingilia tena..na itakuwa mbaya kuliko mwanzo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…