Mlimani City walikuwa wanajiamini na nini hadi kumgomea Magufuli hivi? Inamilikiwa na nani?

CCM mataahira sana, Chadema haichukui ruzuku hata senti moja
 
Utakuwa umekalia kitu kigumu chenye ncha butu na kimezama kabisa uvinza,siyo Kwa povu hili kama umefakamia Omo
 
Pumba tupu. Kuna aliekukataza wewe usiwe mwanasiasa asiyetafuta maslahi? Wenzako wanapitia tanuru la moto halafu wewe umekaa nyuma ya keyboard tu unaandika utumbo. Ingia uwanjani tukuone.
 
Pumba tupu. Kuna aliekukataza wewe usiwe mwanasiasa asiyetafuta maslahi? Wenzako wanapitia tanuru la moto halafu wewe umekaa nyuma ya keyboard tu unaandika utumbo. Ingia uwanjani tukuone.
Achana na viumbe wa sampuli hiyo aisee!Huwa vinaongea kishujaa utadhani kichwani kuna kitu kumbe bure beleshi!
 
Utakuwa umekalia kitu kigumu chenye ncha butu na kimezama kabisa uvinza,siyo Kwa povu hili kama umefakamia Omo
Hamna shida we si umeenda bafuni kutoa tope kidogo baada ya kukuvagaza huko nyuma.
 
Leo yamebaki mafuvu tu utadhani siyo yule aliyejifanya Mungu mtu.
Hahaha! Hata mafuvu hamuna pale, yalishaungua moto na majivu Leo ni udongo mtupu; eti Jiwe? Jiwe mama yake ambaye miaka 6 sasa anapumulia mashine!
 
Tatizo ni kwamba kila baya au kosa lililofanyika awamu ya tano uhusishwa moja kwa moja na Jiwe, tofauti na sasa ambapo mazuri yote ndio uhusishwa nayo Samia ila mabaya ni ya wasaidizi wake ama ameshauriwa vibaya au hajui.
 

Kwa kifupi ni kwamba haya yalikuwa hayamhusu Magufuli wala hakuwatuma, walikuwa wanajaribu kumfurahisha, ingekuwa ni agenda ya Magufuli Hakuna namna mngefania vikao Mwabepande
 
Wamewasema kwa kuwasifu.Au haujui kutofautisha?Uzuzu wa kurithi huo.

"Mlimani city walikuwa wanajiamini na nini hadi kumgomea Magufuri hivi? inamilikiwa na nani?"...

Hiyo ndio heading ya habari, heading ya habari ndio habari yenyewe...

Wapi Meya Jackob ametoa shukrani na kuwasifia Mlimani City zaidi ya kushangazwa?....
 
Kusoma haujui ni kweli.Hata content (maudhui) hujui kuchambua?Bure!
 

Huyo mwenye uso wa mbuzi Yuko wapi siku hizi,hasikiki sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…