Mlinzi wa kiume wa Rais kuvaa juba (vazi la kike) na kuketi msikitini sehemu ya wanawake ni sawa?

Jibu hoja mbona unaandika utumbo??
hayo maswali unamuulzia nani??

Mi mwenyewe naona ajabu
 
Mnajua kukuza mambo, huyo mwanamke
Angekuwa mwanamme angevalia kawaida ila angesimama nyuma kabisa.
Mbona kuna wanawake wenye hormone nyingi za kiume na kuwafanya wawe na ndevu etc
Aisee, umeamua kujitoa akili kabisa!
 
Hivi kwa nini hakuna mtu anayezungumzia hali ya unyenyekevu wa rais na mfano wake bora kwa kuketi na watu wa kawaida katika nyumba ya kuabudia?

As much as I'm very concerned about her governance, I think what she is doing - setting an example for others in putting God first - is highly commendable.
 
Nimeona picha hiyo na kugundua huyo ni mwanamke na sio mwanaume mjadala umefungwa[emoji81]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…