Ndiyo hata madereva na walinzi wengine wengi ni wanajeshi japokuwa wapo TISS wachache pia, Ulinzi wa Rais una mchanganyiko wa Polisi jwtz na TISSWapambe wa Rais si usalama wa taifa, ni wanajeshi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo hata madereva na walinzi wengine wengi ni wanajeshi japokuwa wapo TISS wachache pia, Ulinzi wa Rais una mchanganyiko wa Polisi jwtz na TISSWapambe wa Rais si usalama wa taifa, ni wanajeshi.
Wanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
Hufuata taratibu zake binafsi kinyume na sheria za NchiHuyu mzre huwa hafatagi protocol
Tunataka jibu,sio porojo hizoWenzako wako ki professional, wewe unatema pumba. Hivi Rais angekuwa wa Chadema, na hao walinzi wakavaa jezi ya Chadema ungelalamika?
Wenzako wako ki professional, wewe unatema pumba. Hivi Rais angekuwa wa Chadema, na hao walinzi wakavaa jezi ya Chadema ungelalamika?
Unayafahamu yakoje?Hii mpya, mlinzi yule yuko pale kumlinda Raisi wa Tanzania hata kama pia ni mwenyekiti wa CCM. Anaelindwa ni Raisi na mlinzi yule anatakiwa awe kwenye magwanda yake ya mlinzi wa Raisi ambayo tunayafahamu, hizo nyingine ni mbwembwe za kishamba tu.
Hao unafikiri wanabanwa na Sheria za kiutumishi Kama nyie walimu?[emoji23]Fuatilia kanuni za utumishi wa umma.
Acha uongo!Walinzi ni wanajeshi wa jeshi la ulinzi Tanzania hivyo ni watumishi wa umma na Rais anatakiwa alindwe hivyo.
Mkuu huyu hawezi kuelewa ata ukimuelewesha kwa vibokoNgoja nikusaidie kitu, ukisoma sheria ya usalama wa Taifa ya Mwaka 1996 imeweka wazi kuwa watumishi wa Idara hiyo hawabanwi na sheria ya utumishi wa umma.
Hivyo unapaswa kuelewa kwamba kutokana na nature ya majukumu yao (kama ulivyoambiwa hapo juu, watu hao wapo kila sehemu, ikiwemo kwenye hivyo vyama vyenu), isingewezekana wao kufanya kazi katika mazingira yanayofanana na watumishi wengine wa umma.
Ni akili ya kawaida tu inahitajika kuweza kuelewa haya mambo. Soma zaidi ili ujenge uwezo wa kujenga hoja kwenye majukwaa kama haya.
Kwani walinzi ni waajiriwa wa CCM.....!!Wenzako wako ki professional, wewe unatema pumba. Hivi Rais angekuwa wa Chadema, na hao walinzi wakavaa jezi ya Chadema ungelalamika?
Hizo mbinu akina Kikwete walikuwa hawazijui?Kwanza kabisa Ndugu mtoa mada ninaomba utambue kuwa katika madani za kiulinzi kuna mbinu mbalimbali za kiulinzi, moja ni pamoja na ile atumiaye Kinyonga ya kujibadili kutokana na mazingira kitaalam inaitwa camouflage
pili ninaomba sote tutambue kuwa kuvaa nguo zinazofanana na watu wa chama fulani, sio sifa ya kukueleza kuwa ww ni mwanachama wa chama husika.
Mwisho kabisa nimalize kwa kujibu swali lako, kuwa kuvaa vile kwa walinzi wa MHe. Rais ni halali kabisa, ni sawa tu siku ukimuona amevaa suti,combat au shati la kawaida.
Kwa Tanzania kila KITU sawa tu. Avae tu maana hatujitambui. Upumbavu Mara moja. Siku nyingine wataingia maofisini na kaputra tu. No problem.Kawaida sana!
Wewe ni mjinga uliyepitiliza. Hivi hujui kuwa Magu ni mwenyekiti wa CCM na amepata cheo hicho kupitia CCM. Sasa jiulize huyo mlinzi alipata kazi kwa kugombea kupitia CCM? Ndugu yangu, kuna utumishi wa umma na utumishi kwa kofia ya chama. Mmeharibu nchi yetu na mifumo yake yote nyie watu. Namwonea huruma huyo ajaye baada ya kituko hiki kilichopo ambaye ataanza upya kuijenga nyumba yetu. Nyumba yetu kila mahali ni matobo matupu!Kwwhiyo hata Magufuli hapaswi kuvaa sare za ccm kwenye vikao kama hivyo?
Imekaaje vipi....yaani ulitaka wavae macombat yenu au vipi? Those are professionals...wanajichanganya for security reasons..mijitu mingine bwana mnleta humu comment za kitoto sanaWanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
Mavazi kitu gani bhana!Kwa Tanzania kila KITU sawa tu. Avae tu maana hatujitambui. Upumbavu Mara moja. Siku nyingine wataingia maofisini na kaputra tu. No problem.