Mlio karibu na Tundu Lissu mumkanye aache mara moja kuropoka ropoka!

Uropokaji kama huu;

"...Mwiba Holdings imehongwa zaidi ya hekari milioni 2 huko mkoani Simiyu "[emoji1787][emoji1787]

Hekari milioni 2 ni mkoa mmoja ?!!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kama wamegawa bandari zote za Tanganyika kwa mwarabu wa Dubai,mbuga za wanyama unashangaa kugawa hekari milioni mbili?

Kama sio hekari milioni mbili tuambia wamemgawia ngapi ili tukuinge mkono.
 
Acha ujinga, hakuna popote ambapo Lisu alipinga au kuunga mkono ujenzi wa hilo bwawa. Waliopinga ujenzi wa hilo bwawa ni kamati ya Makamba alipokuwa waziri wa mazingira. Usitake kumtuhumu Lisu kwa sababu za kutunga ili kubeba utetezi wako wa kijinga. Hata hivyo hivyo ujenzi wa hilo bwawa unakuwaje wakati CCM walisema umeme wa maji matatizo ni mabadiliko ya tabia nchi?
 
Kama wamegawa bandari zote za Tanganyika kwa mwarabu wa Dubai,mbuga za wanyama unashangaa kugawa hekari milioni mbili?

Kama sio hekari milioni mbili tuambia wamemgawia ngapi ili tukuinge mkono.
Tutafika huko bandarini....

Kwanza umekubali kuwa hekari milioni mbili ni zaidi ya mkoa 1?!!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ni ndugu TL aliyewashawishi wabunge wa CDU wafanye "lobbying" Bundestag dhidi ya ujenzi wa bwawa lile kwa hoja za mazingira....

Unalipinga na hili ?!!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nashukuru kwa andiko lako murua, wewe ni mmoja kati ya bright minds zilizopo humu JF

Tundu Lissu sio tu kwamba ni mropokaji bali ni mweupe kichwani kuhusu suala la mazingira na hataki kueleweshwa, yaani huyu jamaa ambaye alikua ndio mkosoaji mkubwa wa Magufuli, hana tofauti kubwa na Magufuli katika kujidai anajua kila kitu na kulazimisha mambo ambayo hana ufahamu nayo
 
[emoji106][emoji1787][emoji1666][emoji7][emoji2956][emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Punguzeni ulafi pumbavu zenu.
 
Tundu Lissu na Magufuli wanafanana sana, japo wanachukiana sana pia

Wote wanajiona wanajua kila kitu na hakuna anayejua zaidi yao, na wapo tayari kudhalilisha watu ili kujipatia sifa kutoka kwenye kundi la watu
 
Mtu mpaka kapigwa risasi mia hajafa..tutamuonya nini mkuu?
 
Unasema mara "tungependa kuona..."ungependa kuona na nani? Kwani wenye maoni kama yako mmepiga kura na kuona tofauti iliyopo na wasiokubaliana na wewe? Jisemee mwenyewe hayo ni maoni yako, halafu wewe siyo level ya LISSU.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…