Hakuna kitu ambacho nilikuwa naogopa kama kufiwa na wazazi nashukuru MUNGU wazazi wote wapo hai ....pole Sana mkuu
Wapo hai ila usijisifu na kuwakejeli ambao hawana wazaz rafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu ambacho nilikuwa naogopa kama kufiwa na wazazi nashukuru MUNGU wazazi wote wapo hai ....pole Sana mkuu
I lost my dad 2017
I lost my mom 2019
Na Wala hawakuwa wazee
Ni muda tu utakuponya ukae sawa.
Here I am stronger than ever nipo nachapa gwaride because they left a strong daugh
Nitakuwa mjinga wa mwisho duniani kama nitakejeli kwanza naanzaje kufanya hivyo katika umri wangu wa miaka 39Wapo hai ila usijisifu na kuwakejeli ambao hawana wazaz rafiki
Mungu akutie nguvu,yeye tu aweza kukufariji,binafsi sijui hat nilivukaje,Mungu alinisaidiaWandugu habari, mama alikuwa mgonjwa na akaanza matibabu ila akiwa hospital akafariki. Hapa naenda msibani, ila siwezi kuvumilia kulia mara kwa mara licha ya kujikaza.
Kwa mliopata hii changamoto, mliwezaje kumove on? Nikifikiria ameenda bado mdogo hata 50 hajafika, ni mengi nawaza yananiumiza ila sometimes inabidi nifanye ujinga tuu ili kupoteza mawazo.
Faraja pekee ni kusali sana. I have lost a mother too, miaka 6 imepita ila kumove on haiwezekani sababu kila ukipata issue ambazo yeye alikua msaada au mshauri lazima itakusumbua. Kwahyo jambo la kukushauri ni kusali na kukubali tu kuwa mama hauko naye tena. Ila hauwezi kumove on. POLE SANA na Apumzike kwa AmaniWandugu habari, mama alikuwa mgonjwa na akaanza matibabu ila akiwa hospital akafariki. Hapa naenda msibani, ila siwezi kuvumilia kulia mara kwa mara licha ya kujikaza.
Kwa mliopata hii changamoto, mliwezaje kumove on? Nikifikiria ameenda bado mdogo hata 50 hajafika, ni mengi nawaza yananiumiza ila sometimes inabidi nifanye ujinga tuu ili kupoteza mawazo.
Ebwan hili usiombe likukute... il muhimu nenda kanisani dua na sala utapata faraja maana mtuhani huu mgumu sanaWandugu habari, mama alikuwa mgonjwa na akaanza matibabu ila akiwa hospital akafariki. Hapa naenda msibani, ila siwezi kuvumilia kulia mara kwa mara licha ya kujikaza.
Kwa mliopata hii changamoto, mliwezaje kumove on? Nikifikiria ameenda bado mdogo hata 50 hajafika, ni mengi nawaza yananiumiza ila sometimes inabidi nifanye ujinga tuu ili kupoteza mawazo.
Bora na wewe umesemaUmepata na muda wa kuandika
Nimefiwa na mama tar 1 mwezi huu ,sikua na hizi nguvu za kuandika
Moshi uko mtoto kaua Mama yake.Wandugu habari, mama alikuwa mgonjwa na akaanza matibabu ila akiwa hospital akafariki. Hapa naenda msibani, ila siwezi kuvumilia kulia mara kwa mara licha ya kujikaza.
Kwa mliopata hii changamoto, mliwezaje kumove on? Nikifikiria ameenda bado mdogo hata 50 hajafika, ni mengi nawaza yananiumiza ila sometimes inabidi nifanye ujinga tuu ili kupoteza mawazo.
Hatupishani sana. Mimi nilikuwa 17 wakati yeye ana 42,yaani nikikumbuka au kuona picha yake namuona kama vile ameondoka jana. Inauma sana lakini utafanyaje.my mom was gone at the age of 40 and I was 18yrs...
Sisemi ial vumilia tu my dear ndo Mambo ya Mungu
Pole sana.Mapito juu ya mapito.Mimi nilimpoteza mama mwaka 2020, nikampoteza mtoto mwaka 2021, mwaka huo huo 2021 mwezi uliofuata nikampoteza baba...haya mambo nikumuachia Mwenyezi Mungu tu na katika kipindi hicho kila jambo unaloliwaza kumbuka kwamba Mungu yupo na unazidi kumuomba yeye akupe uvumilivu na akuvushe salama...pia amini wazazi wapo mahali salama na siku Moja tutaonana katika heriiii ....
Pole sana kwa magumu unayopitia na Mwenyezi Mungu atakuvusha salama.
Aisee inauma sana. Mimi aliondoka na 42.we unasemea 50, mie mama alitutoka akiwa 40 yrs. Mpaka kesho siamini kama alienda kwa haki.
Huna jinsi zaidi ya kulia mkuu ili utoe uchungu moyoni.
Pole na wewe pia. Kifo hakizoeleki.Poleni sana mliofiwa na mama,
Naona nashindwa kumsahau marehemu baba yangu aisee[emoji24]
nyie[emoji24]