Mlioko kwenye ndoa na watoto wenu wa nje, Mnalitatuaje hili swala?? Msaada jamani naombeni....

Itakuwa huyo Mwanamke alificha kuwa ana mtoto,huwa sio rahisi kwa Mama kumuacha Mtoto.
Hata hivyo ninamuonea huruma huyo jamaa aliye muoa huyo Mwanamke-atakuwa analiwa timing ya kuondoshwa duniani na huyo Mama ili badaye aishi na watoto wake wote.
 
Reactions: _ly
Je huyo dada alishamwambia mumewe kama ana mtoto
 
Mna

Ili wakaharibu ndoa yake kisha JF waanze kutukana single mothers. Wewe unaweza ruhusu mtoto wako akalale kwa mume mwenzio ambaye hujuani nae wala hujui tabia yake?
Huyo mama ndio amfuate mtoto sio mtoto amfuate mama
Ndoa muhimu kuliko welfare ya mtoto?
Huo ni ubinafsi wa hali ya juu. Kwanini walimleta duniani kama walitaka waishi kwa Raha na starehe Bila bughudha ya mtoto?
Basi wamwambie mama yake amekufa au yupo mbali sana nje ya nchi.
 
Sijui ila nafikili anajua hilo maana mtu si anaenda kujitambulisha kwao.
Au vipi
 
Ila kama ni kweli itakuwaje baadae hio issue.
 
Mnatafuta sababu jmaa akapashe kiporo au vipi?.

Kwani mtoto hapo si anakaa na mama wa kambo? Sio mama?
Mtoto kuna kipindi analia anamuitaji mama yake , sasa ishu ni kumpandisha kwenye basi mpk dsm mama anampokea kwani shida iko wapi.
 
Mna

Ili wakaharibu ndoa yake kisha JF waanze kutukana single mothers. Wewe unaweza ruhusu mtoto wako akalale kwa mume mwenzio ambaye hujuani nae wala hujui tabia yake?
Huyo mama ndio amfuate mtoto sio mtoto amfuate mama
Hivi kweli mume anaweza mruhusu mkewe aje kwa mzazi mwenzie kwa kisingizio cha mtoto kweli.
 
Je huyo dada alishamwambia mumewe kama ana mtoto
Nafikili maana mtoto alikuwa anaishi na mama yake dsm.
Wazazi wa huyo dada wanaishi iringa.
Naamini kipindi wanakutana na mume wake kipindi cha uchumba alikuwa anamuona mtoto maana alikuwa anakaa nae nyumba moja.
 
Ndoa muhimu kuliko welfare ya mtoto?
Huo ni ubinafsi wa hali ya juu. Kwanini walimleta duniani kama walitaka waishi kwa Raha na starehe Bila bughudha ya mtoto?
Basi wamwambie mama yake amekufa au yupo mbali sana nje ya nchi.
Welfare ya mtoto mmoja iharibu welfare ya watoto wengine kwenye ndoa?
Kwanini mtoto akalale kwa baba wa kambo unaona inaingia akilini. Risk ni kubwa kuliko faida. Mtoto atembelewe mama, sio yeye akamtembelee mama
 
Itakuwa huyo Mwanamke alificha kuwa ana mtoto,huwa sio rahisi kwa Mama kumuacha Mtoto.
Hata hivyo ninamuonea huruma huyo jamaa aliye muoa huyo Mwanamke-atakuwa analiwa timing ya kuondoshwa duniani na huyo Mama ili badaye aishi na watoto wake wote.
Ngoja nimuulize kama jamaa yangu hapa kwanza
 
Welfare ya mtoto mmoja iharibu welfare ya watoto wengine kwenye ndoa?
Kwanini mtoto akalale kwa baba wa kambo unaona inaingia akilini. Risk ni kubwa kuliko faida. Mtoto atembelewe mama, sio yeye akamtembelee mama
Mkuu kuna mwanaume ataruhusu mkewe aendee kwa mzazi mwenzie.
 
Kwamba kila anapokwenda mkeo huwa unajua. Umemfunga GPS?
Ndio maana mnakufa siku sio zenu, kwahiyo unakaa hapa unaamini sehemu zote mkeo ameenda unazijua na ambazo ulikataza basi hakwenda
 
Labda hujaelewa mtoto ana miaka 12tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…