Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 525
- 876
- Thread starter
- #61
Watatafuta namna njema ya kuweka mizania sawa.Penye wengi hapaharibiki jambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watatafuta namna njema ya kuweka mizania sawa.Penye wengi hapaharibiki jambo.
Kumuelewesha mume jambo alilokuwa halijui.Kuweka mizani sawa kivipi?
Itakuwa huyo Mwanamke alificha kuwa ana mtoto,huwa sio rahisi kwa Mama kumuacha Mtoto.
Hata hivyo ninamuonea huruma huyo jamaa aliye muoa huyo Mwanamke-atakuwa analiwa timing ya kuondoshwa duniani na huyo Mama ili badaye aishi na watoto wake wote.
Kumbe jibu lipo kwenye hizo jumbe!Rudiarudia kusoma utaelewa tu.
Hili ndiyo litatoa jibu la msingi mama wa kambo akimtreat vizuri huyo mtoto hawezi hata kumuwaza mama yake mzazi.Vipi huyo mkeo anam treat namna gani huyo mtoto?
Kama mama mtoto hana habari na mtoto wake iwe kwa hiyari yake au shinikizo la mumewe,ni vema kumuacha aendelee na maisha yake.Yafaa nini kusumbuana?Watafute tu namna ya kumpanga mtoto asiwasumbue.Endapo mtoto analelewa vizuri na mama wakambo bora kuendelea kata mawasiliano na mwenza wa zamani
kwa maisha ya sasa mkikutana mtaanza oneana aibuu .... mara manapongezana et J amekuwaa mkubwaa eee tumelea /tumekuza ..... mnaishia kujozanaa ..shenzi kabsaa
Atamtafuta kwa lipi ili Hali anamkwepa kuonana naye? huyo mama hajitambui huwezi kumkwepa mwanao wa kumzaa kisa eti unabembeleza ndoa kesho na keshokutwa unaachika na huyo bwana kwa sababu za kipuuzi tu, , ningekuwa mm ndio baba wa huyo mtoto nampiga pin mazima mtoto asionane na mama yake ikiwezekana nasingizia umekufa kabisa , hiki ndio chanzo Cha watoto kutokuwa na Upendo na wazazi waoEeh muacheni atunze ndoa yake akiachika mtamuoa? Mtoto yuko sehemu salama akikua atamtafuta mama ake
Sasa kama mtu alisha jiweka kabisa sioi mtu wa namna hio.Kumuelewesha mume jambo alilokuwa halijui.
They are "the Jezebels"!Huwa wanajua kujieleza wakaeleweka.Sasa kama mtu alisha jiweka kabisa sioi mtu wa namna hio.
Tena labda ukute alimwambia kabisa akasema hana sasa unafikili itakuwaje.
Sio rahisi kama unavyofikilia.They are "the Jezebels"!Huwa wanajua kujieleza wakaeleweka.
Atamtafuta kwa lipi ili Hali anamkwepa kuonana naye? huyo mama hajitambui huwezi kumkwepa mwanao wa kumzaa kisa eti unabembeleza ndoa kesho na keshokutwa unaachika na huyo bwana kwa sababu za kipuuzi tu, , ningekuwa mm ndio baba wa huyo mtoto nampiga pin mazima mtoto asionane na mama yake ikiwezekana nasingizia umekufa kabisa , hiki ndio chanzo Cha watoto kutokuwa na Upendo na wazazi wao
Ni kweli sikufuatilia sana umri wake.Labda hujaelewa mtoto ana miaka 12tayari
Kuna kitu hujakiona.Welfare ya mtoto mmoja iharibu welfare ya watoto wengine kwenye ndoa?
Kwanini mtoto akalale kwa baba wa kambo unaona inaingia akilini. Risk ni kubwa kuliko faida. Mtoto atembelewe mama, sio yeye akamtembelee mama
Kama mama hawezi au hataki au haruhusiwi kumtembelea mtoto, ni haki mtoto aharibikiwe maisha sababu ya msingi wa mawazo? Anaweza behave vibaya kiasi cha kuharibu maisha yake hata kujiua?Welfare ya mtoto mmoja iharibu welfare ya watoto wengine kwenye ndoa?
Kwanini mtoto akalale kwa baba wa kambo unaona inaingia akilini. Risk ni kubwa kuliko faida. Mtoto atembelewe mama, sio yeye akamtembelee mama
Nimekuuliza swali ambalo hujibu.Kuna kitu hujakiona.
Kama mume ana wivu mtoto wa mkewe akimtembelea mama yake, Je, wivu utakuwa mkubwa kiasi gani akisikia mkewe kamtembelea mwanawe kwa mwanaume aliye zaa naye?
Kama mama hataki kumtembelea mtoto wake unadhani kumpakia mtoto aende kama parcel ndio kutaleta upendo?Kama mama hawezi au hataki au haruhusiwi kumtembelea mtoto, ni haki mtoto aharibikiwe maisha sababu ya msingi wa mawazo? Anaweza behave vibaya kiasi cha kuharibu maisha yake hata kujiua?
Unafikiri no sawa kuchagua nani Kati ya watoto wako atengwe na wengine wawe na maisha mazuri ya furaha?
Mtoto alikuomba umlete duniani?
Na hapa ndonapopata ukakasi.......huyo jamaa yako kuna analotafuta wala si mtoto kumuona mamaMnatafuta sababu jmaa akapashe kiporo au vipi?.
Kwani mtoto hapo si anakaa na mama wa kambo? Sio mama?