Mlioko kwenye ndoa na watoto wenu wa nje, Mnalitatuaje hili swala?? Msaada jamani naombeni....

Makanyanga ni mtazamo wako. Anaweza kuwa mtu mzuri tu. Ikilazimu kapange lodge jirani unampeleka asubuhi unaenda mchukua jioni kwa muda wa siku 3 Hadi 5 kutegemea na muda na uwezo kiuchumi.
Determined parents will do that for their kids.

Talking about me.
Mimi kitu cha kwanza nikizaa na mwanamke nitafanya kila niwezalo watoto wetu wapate malezi ya baba na mama.
Nitajitoa muhanga (sacrifice) hisia zangu au starehe zangu mradi nitimize hilo.
I would go far even to forgive adultery.
Ikitokea nimeshindwa basi nitampa mtoto wangu haki ya kumsalimia mama yake popote itakapo lazimu nimpeleke.

Unajua hisia za kutaka kumfahamu au kukaa na baba au mama kama haujakuwa karibu naye kimalezi?

Unawasikia wenzio tu habari ya mama au baba.
Never underestimate that feeling. Ni kwa vile hujui tu how it feels and how it may affect a teenager pyschologically.
 
Mimi kitu cha kwanza nikizaa na mwanamke nitafanya kila niwezalo watoto wetu wapate malezi ya baba na mama.
Mama akiolewa na mwingine afu ndo hivyo nae jamaa ataki mkewe akutane na mzazi mwenzie na mtoto kuja kwake. Utaisolve vipi hio.
 
Maana kuna dada mmoja namjua alizalia home kwao mtoto akabaki home kwa bibi na babu yeye akaenda kuolewa baba mtomi mitini tangu mimba.
 
Mama akiolewa na mwingine afu ndo hivyo nae jamaa ataki mkewe akutane na mzazi mwenzie na mtoto kuja kwake. Utaisolve vipi hio.
Kwani hakuna mahakama ya kumlazimisha mama aonane na watoto wake angalau kwa mwezi mara moja?
Ustawi wa jamii wanafanya kazi gani?
 
Kule alikoolewa amesema Hana mtoto kabisa . Kwahiyo ni ngumu kukubaliana anaogopa kuachika kama alidanganya kwenye hiyo ndoa mpya . Ndio maisha yalivyo hivi siku hizi.
 
Kwani hakuna mahakama ya kumlazimisha mama aonane na watoto wake angalau kwa mwezi mara moja?
Ustawi wa jamii wanafanya kazi gani?
Sijajua kama ustawi wa jamii wanaweza fanya hivyo.
 
Kule alikoolewa amesema Hana mtoto kabisa . Kwahiyo ni ngumu kukubaliana anaogopa kuachika kama alidanganya kwenye hiyo ndoa mpya . Ndio maisha yalivyo hivi siku hizi.
Mume wake anajua hilo kuwa anamtoto.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
M to to avumilie tu atakuja siku kumuona maisha yanabadilikaga mama atajileta mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…