Mlioko Uingereza, msaidieni huyu mama kufahamu wanawe walipo

Mkuu ahsante kwa angalizo.
Labda tu niseme nimejaribu kumtrack huyo mtu aliyetajwa na mama wa hao watoto lakini sikufanikiwa ILA nilipotumia Surname yake nikawapata hao watu katika Facebook hivyo basi kwa wale wajuzi wa huo mtandao wanaweza kuanza kuwasiliana na hao watu ILI ALAU tuone kama tunaweza kupata chakumsaidia huyo mama.
Ahsante
mkuu hebu jazia nyama hapa
 
shukrani mkuu nimejifunza kitu
 
Hata hivyo amechelewa sana yaani miaka 22 ameshindwa hata kupeleka malalamiko serikalini anyway tafadhali wenye taarifa na hao ndg msaidieni huyu mama
 
ubarikiwe
 
Ningekuwa sijaelewa nisingesahihisha.

Cheo cha utakatifu kwetu hakuna hicho. Huo utakatifu hata wanaolawitiana wanapewa huko kanisani, unabisha nikuwekee ushahidi?

Tatizo lako ni shule, ulisomea ujinga.
Wewe umehitimu kwenye utovu wa nidhamu, na ni aina mojawapo ya ujinga. Aina nyingine ni kujifanya unajua.

kama unapitia menopause, kuna medications zinazoweza kukupunguzia makali, huna haja ya kuwa na mahasira ya vitu vidogo.

I beg of you to stop this nonsense o evil queen of JF.
 
FaizaFoxy ni kaahaba tu sio wa kukuumiza kichwa ni mdada anayeolewa na kuchika.ana chuo cha 5 sasa
 
Ningekuwa sijaelewa nisingesahihisha.

Cheo cha utakatifu kwetu hakuna hicho. Huo utakatifu hata wanaolawitiana wanapewa huko kanisani, unabisha nikuwekee ushahidi?

Tatizo lako ni shule, ulisomea ujinga.
Mods naona Kuna watu wanakera wengine kwa lugha za kuudhi na kejeli bila kuchukukiwa hatua. We are tired of this kind of abusive language @pitsmshai
 
Akili zingine hivi unaruhusu vipi watoto wako wachukuliwe na msomali kwenda ughaibuni?
 
Kwa mujibu ya maoni ya wachangiaji (comments) kule blogi ya michuzi ilipotoka habari hiii hawa vijana wamekwisha patikana tayari wakiwa wazima na salama. Maoni hayo hapo 'sosi' ikiwa blogi ya ankal Michuzi.


January 26, 2017


Ok said...
Kwa taarifa za awali hawa wanaotafutwa walikabidhiwa social care walipo kua bado ni watoto.hawakuelewana kimalezi na huyo aliye wachukua. Ndugu yangu fahmi kama upo karibu na mji wa leicester jaribu kuulizia social care ya hapo pengine utapata mwangaza wapo wapi kwa sasa .itabidi ujieleze vizuri si unajua mambo ya europe hiyo ni private issue
All the best

January 27, 2017


Grace said...
JAMANI MIMI NI GRACE NAISHI HOLLAND. ASANTENI SANA WATOTO WAMEPATIKANA.

January 27, 2017


Grace said...
JAMANI MIMI NI GRACE NAISHI HOLLAND. ASANTENI SANA WATOTO WAMEPATIKANA.

January 27, 2017


Grace said...
JAMANI MIMI NI GRACE NAISHI HOLLAND. ASANTENI SANA WATOTO WAMEPATIKANA.

January 27, 2017


Abu Fahmi said...
Ndugu Hijambi na wadau wengine habari nilizopata mpk sasa watoto wamepatikana wakiwa wazima na afya njema.

Tumshukuru Mungu mkarimu kwa kuliwezesha hili Zoezi.

Alhamdulillah Rabb l aalamiin.

Mbarikiwe sana wote mlioshiriki ktk Zoezi hili.
Na km kuna Mzazi au wazazi wengine out there waliopoteza watoto wao walete habari zao hapa tuone namna gani tunaweza kusaidiana. Wasikate tamaa hata kidogo.
Ukimtegemea Mungu Hakuna kinachoshindikana.

Ndugu yenu Abu Fahmi.
United Kingdom.
 
Yaani mtu ukisikia uingereza au Nchi za Nje unaona ndio maisha sasa huko akifanikiwa atakujali na wakati ulikimbia majukumu na shemeji katengeneza choyo na wakwangu nae aende! Yaani doooo !vumilia tu atarudi!
Tungepata contacts za abubakr al Baghdad tungemuuluza kama hawako kwake, maana wasomali akili zao wanazijua wenyewe
 
Ooh my Goodness, duh kweli mitandao ya kijamii Ni Kitu kizuri sana,. Asante teknolojia
 
Huyu dada Moderator wanamuogopa ana lugha za kuuzi sana na kashfa za kidini lkn hachukuliwi hatua yoyote

Kipi kinachokuudhi?

Wewe unaponiita "Mtakatifu", cheo ambacho Kiislam hakipo, siyo lugha ya kuudhi?

Nnapokwambia Mimi hao "watakatifu" wenyewe wanalawitiana hukohuko makanisani unaudhika? Au wachungaji na mapadri si watakatifu wenu?

Nikuwewekee ushahidi kuwa wanalawitiana kweli.

Kuna mmoja hapa Tanzania anaitwa father Kit Cunningham alilawitiana na wanafunzi kama si shule nzima basi robo tatu huko Soni. Mpaka hiyo habari ipo Kimataifa.

Sasa unachobisha au kinachokuudhi nini? Au ukweli unakuuudhi?

Kama nnayoongea nimeyazusha au nnadanganya basi kuudhika ni haki yako lakini kuudhika kwa huo ukweli ambao unatakiwa uudhike kwa kuyapinga hayo machafu si kwa mimi kukuudhi kwa kuandika ukweli.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
balloteli akili zake ni mbele ila mungu afanye miujiza
 
Suala la kulawiti sio dini bali ni mtu.Kama kuna kiongozi wa dini analawiti au kulawitiwa basi ni kwa sbb ya ubinadamu wake na si dini yake

Viongozi wa dini wapo walio wema na wasio wema,iwe ktk dini ya ukristo,uyahudi,uislam na ubudha.Suala na kutoka hadharani,kukiri na kutubu ni hatua kuelekea uongofu.

Hakuna mwanadamu aliye msafi,wote waliozaliwa na mwanamke hutenda dhambi na kutubu.Ndio maana kuna nyumba za ibada na mahali pa kuomba toba

Bahati mbaya kuna binadamu hudhani wenzao ni wadhambi kuzidi wao.Hakimu wa kweli ni Mungu,binadamu huongea kwa hisia na hukumu ya husda.

Suala la Fr wa Soni Lushoto liliibuliwa na kanisa lenyewe,hii ni dhana ya kujisahihisha.Ni kama wale wanaolawiti vijana katika shule za dini nyingine tu

Bahati mbaya hizi dini zilizoletwa sbb ya biashara na ukoloni zimewaganda waafrika ktk mioyo na ubongo wao
 
Na ninaposema una chuo cha 5
 
Pole zake huyo mama...huwezi kufanya biashara ya watoto....such is a harmful thing to do and it haunts big time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…