Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

Wanawekeza nini..?
 
Katika nchi yenye maskini wengi, kuwepo kwa tajiri mmoja, ambaye anakuwa na sauti kuhusu wapi kuwekeza, hakuna shaka ni kuongeza idadi ya maskini.

Mimi bado naamini Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea, kwa "state dictatorship" ni suluhisho la umaskini katika jamii. UBEPARI NI UNYAMA
 
Mwendazake aliwaaminisha watu kua matajiri wote ni wezi, wengine wanaitwa freemason[emoji23][emoji23][emoji23] umaskini ni m'baya sana
 
Kuna watu mlitamani wasiwepo lkn kwa uongozi wa magu kama angekua fisadi asingemuacha salama.
 
100% Truth,
 
Na ukienda nchini Uganda kuna Mtu anaitwa Mukwano ( japo siyo Jina lake Halisi ) ila ndiyo Mhinci Tishio kwa Utajiri, Biashara na Uwekezaji nchini humo.

Sina shaka na Mtazamo wako kuhusu hizi Hoja zako ambazo kwa angle nyingine ya Kifikra naweza Kukubaliana nazo kwa 75%, ila ulichosahau tu ni kwamba Rekodi ya Matendo ya Rostam hasa katika Siasa, anaoshirikiana na hata Yeye pia Kuhusishwa katika Kashfa kadhaa za Ufisadi hapa Tanzania ndizo zinewatisha Watu waliohoji na wanaomtilia Shaka na nakuomba hata Usiwalaumu au Usiwashangae kwani hata Wao wana Hoja zenye Mantiki juu yake.
 
Wapi duniani iyo siasa imefanikiwa na kuondoa umasikini? Nipe mfano wa nchi mbili tu?
 
Hata Yesu na Mtume SAW walitiliwa shaka. Rostam ni nani asitiliwe shaka?
 
Mwendazake aliwaaminisha watu kua matajiri wote ni wezi, wengine wanaitwa freemason[emoji23][emoji23][emoji23] umaskini ni m'baya sana
Kati ya vitu vya kumuomba Mungu , usiache kumuomba Mungu akuepushe na akili ya kimaskini na umaskini!
 
JPM alijikita kutengeneza masikini wengi ili baadae wampe kura
Kutengeneza masikini? Wakati ukoo wenu umejaa umaskini kabla ya uhuru. Nyie wapumbavu msijifanye mna pesa au mnajua pesa wakati mnatoka na kuishi kwenye umaskini. Hii nchi imejaa umaskini na wanyonge mpende au msipende.
 
Haya, nenda ukiriguru Sasa ukapumzike
 
Kutengeneza masikini? Wakati ukoo wenu umejaa umaskini kabla ya uhuru. Nyie wapumbavu msijifanye mna pesa au mnajua pesa wakati mnatoka na kuishi kwenye umaskini. Hii nchi imejaa umaskini na wanyonge mpende au msipende.
Wao wanapenda kutengeneza Nchi yenye tabaka la watwana na mabwana !! Ndio lengo lao !!!
 
Mtapata tabu sana mnaomshambulia marehemu !! Sasa kila MTU mnamwita sukuma gang !!
Na ndio maana mlishaambiwa kwamba nendeni kwa Ground mkajionee jinsi watu walivyommiss mwendazake !! Acheni kubwabwaja nyuma ya keyboards zenu ! !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…