Mikataba binafsi ni siri baina ya wahusika, acheni speculations nyie waswahili.View attachment 2670181
Mwekezaji Rostam Aziz akisaini mbele ya Rais wakiwa huko USA.
Hatuambiwa walikuwa wanasaini nini. Tuna haki ya kujua na ofisi ya Rais ina wajibu wa kutujuza
Jibu swali,anasaini nini,toka lini mpango akaelekezwa kusaini,nchi imeuzwaHiyo ni picha ya zamani wakati akiwa Makamu wa Rais,....kuna jambo alikua anaelekezwa.
Huoni nani ameshika kalamu na nani anakodoa macho yake makubwaVizungu vya nini bro...tumesoma wote. ACHA ubishi!
Jina zuri "furushi"Furushi...
Acha uongo, hiyo ni majuzi, ziara ya Royal tour.Hiyo ni picha ya zamani wakati akiwa Makamu wa Rais,....kuna jambo alikua anaelekezwa.
Unakiri Rais anafanya biashara akiwa ikulu.Mikataba binafsi ni siri baina ya wahusika, acheni speculations nyie waswahili.
Rostam atajua kama hajui , Tunafukua rasmi ya Channel 10 na yule mdogo wake aliyekamatwa na maelfu ya nyara za serikaliView attachment 2670181
Mwekezaji Rostam Aziz akisaini mbele ya Rais wakiwa huko USA.
Hatuambiwa walikuwa wanasaini nini. Tuna haki ya kujua na ofisi ya Rais ina wajibu wa kutujuza
Biashara ipi kafanya hapoβUnakiri Rais anafanya biashara akiwa ikulu.
Una hakika hatumii nafasi yake kama mkuu wa nchi kujinufaisha binafsi kwenye hayo makuballiano ya siri?
anamuelekeza kama nani ?Acheni woga, kuna kitu alikua anamuelekeza hapo. Kama ni kusaini mkataba tungeambiwa kabla. Tanzania ni Nchi yenye uwazi sana. Mama yetu hana mambo ya kufichaficha
Wakati huo Rostam alikuwa na cheo gani Tanzania ?Hiyo ni picha ya zamani wakati akiwa Makamu wa Rais,....kuna jambo alikua anaelekezwa.
uongozi wa juu kuna tatizo mahaliView attachment 2670181
Mwekezaji Rostam Aziz akisaini mbele ya Rais wakiwa huko USA.
Hatuambiwa walikuwa wanasaini nini. Tuna haki ya kujua na ofisi ya Rais ina wajibu wa kutujuza
Mbona hata marais wa mataifa hayo ya G7 wanafanya ziara na kuambatana na jumuiya ya wafabyabiashara wakubwa wa sekta binafsi na mikataba ya kibiashara kati ya sekta binafsi inasainiwa ktk ziara zao?View attachment 2670181
Mwekezaji Rostam Aziz akisaini mbele ya Rais wakiwa huko USA.
Hatuambiwa walikuwa wanasaini nini. Tuna haki ya kujua na ofisi ya Rais ina wajibu wa kutujuza
πππ sio fuulishiFurushi...