Mlionitukana niliposema kuwa ndani ya Simba SC kuna tatizo kubwa, rudini tena mnitukane

Mlionitukana niliposema kuwa ndani ya Simba SC kuna tatizo kubwa, rudini tena mnitukane

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Haiingii Akilini Kocha Mkuu umemtafuta Mwenyewe na Dela lako Mchongoko na Miguu yako ya Fito na Mwili wa Fidodido tena Ukatuhakikishia ni bonge la Kocha halafu leo ghafla tu mnaachana nae.

Maumivu ya Kutuletea Kocha Mzoa Taka wa Jijini Madrid aliyekuwa akifundisha Real Madrid ya Temeke Mwembe Yanga ambaye pia Ulimpamba na kusema alifanya Kazi na Zidane hayajaisha leo tena unarudia Kosa lile lile.

Leo nimeamini hakuna Mashabiki Wapumbavu kama Sisi wa Simba SC ( nami nikiwemo) kwani kwa ninavyowajua Yanga SC walivyo na wasivyovumilia Upuuzi leo hii hiki Kifidodido cha Mo Dewji kingewatambua na Kingeondoka mazima.

Nilisema na leo narudia tena kuwa Yanga SC kwa Msimu huu ni Bingwa tena na tarehe 23 Oktoba 2022 Simba SC atafungwa na Yanga SC na hata huko CAFCL tunatolewa ndani ya Mechi moja au ya pili tu.

Simba SC wote Hatuna Akili.....!!!!!!!!!
 
Wale Simba Hoya Hoya hawawezi Tia mguu kwenye Uzi huu, wanachumgulia kwa mbaali Ila huo ujumbe ndiyo ukweli wenyewe, Simba kwa sasa hakuna uongozi wa maana, mambo yote Ni magumashi tu na sidhani kwa big bullet Kama mtatoboa
 
Mbona taarifa ipo wazi kwamba yeye kocha ndiyo amevunja mkataba anaenda kujiunga na club ya ittihad ya misri!! Acha mihemko
 

Attachments

  • Screenshot_2022-09-06-14-01-36-09.jpg
    Screenshot_2022-09-06-14-01-36-09.jpg
    82.3 KB · Views: 4
Back
Top Bottom