Mlionitukana niliposema kuwa ndani ya Simba SC kuna tatizo kubwa, rudini tena mnitukane

Tutashuhudia mengi msimu huu,
Halafu Matola pale kafika eeh, makocha wakuu wanakuja wanaondoka wanamuacha
Tabu nae vyeti ni vidogo...na fitina etc hatari yule.
 
  • Kicheko
Reactions: ram
Mzungu Hayuko Tayari Kumyenyekea Mtu Ova…
Maboss wa Kibongo wanapenda kupigiwa Magoti…
Ova
 
Former Wydad Casablanca head coach Zoran Manojlovic has reached an agreement with Egyptian side Itthad Alex SC to be their next head coach.

According to Filgoal, Serbian International Zoran Manojlovic has reached an agreement with the Egyptian side ahead of their League campaign after placing 12TH in the Egyptian League last season.

Tanzanian Club Simba FC is currently coached by 60-year-old coach Zoran. Zoran won the Algerian League, the Angolan League twice, and the Angolan Super Cup during his coaching career.

Last season, Al Ittihad of Alexandria finished 12th in the Egyptian Premier League table with 38 points.According to reports, the Serbian coach will be paid $30,000 per year.
 
Haiingii Akilini Kocha Mkuu umemtafuta Mwenyewe na Dela lako Mchongoko na Miguu yako ya Fito na Mwili wa Fidodido tena Ukatuhakikishia ni bonge la Kocha halafu leo ghafla tu mnaachana nae.

Maumivu ya Kutuletea Kocha Mzoa Taka wa Jijini Madrid aliyekuwa akifundisha Real Madrid ya Temeke Mwembe Yanga ambaye pia Ulimpamba na kusema alifanya Kazi na Zidane hayajaisha leo tena unarudia Kosa lile lile.

Leo nimeamini hakuna Mashabiki Wapumbavu kama Sisi wa Simba SC ( nami nikiwemo ) kwani kwa ninavyowajua Yanga SC walivyo na wasivyovumilia Upuuzi leo hii hiki Kifidodido cha Mo Dewji kingewatambua na Kingeondoka mazima.

Nilisema na leo narudia tena kuwa Yanga SC kwa Msimu huu ni Bingwa tena na tarehe 23 Oktoba 2022 Simba SC atafungwa na Yanga SC na hata huko CAFCL tunatolewa ndani ya Mechi moja au ya pili tu.

Simba SC wote Hatuna Akili.....!!!!!!!!!
Huna akili peke yako
 
Huyo sio kocha wa mchongo amepata klabu ya daraja la kwanza misri ndio maana kaomba kuondoka
 
Back
Top Bottom