KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Mimi ni moja ya watu wanaofatilia POST zako,sometime akili yako ikikaa sawa unaandika vitu vya maana sana ambavyo akili ndogo zinashindwa kukuelewa kabsa zinabaki zinakushambulia tu badala ya kushambulia hoja zako.Huna Akili Kocha jana Kutwa alikuwa na Kikao na Management na akasisitiza kuwa hawataki akina Chama, Mkude, Phiri, Boko, Muzamiru, Kapama, Kayombo, Kapombe, Onyango na Agban huku Uongozi ukiwakingikia Kifua ndipo akasema wachague Moja Yeye au hawa 10 ndipo Simba SC ikapima na Kuona hawa 10 wana Faida kuliko Yeye tu Mmoja.
Ukiona ID hii inaandika Masuala ya Mpira ( hasa huu wa Tanzania wa Simba na Yanga ) Kaa nayo mbali sawa?