Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Yule fidofido ndio tatizo . Poleni Sana watani zangu
.... leo hii hiki Kifidodido cha Mo Dewji kingewatambua na Kingeondoka mazima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule fidofido ndio tatizo . Poleni Sana watani zangu
.... leo hii hiki Kifidodido cha Mo Dewji kingewatambua na Kingeondoka mazima.
Taarifa rasmi ya simba umeisoma ????Mbona taarifa ipo wash kwamba yeye kocha ndiyo amevunja mkataba anaenda kujiunga na club ya ittihad ya misri!! Acha mihemko
Ndugu natukanwa mno hata Mtaani na wana Simba SC Wenzangu kwa kusema Ukweli kuwa ndani ya Timu kuna Shida, tumesajili Vibaya, kuna Upigaji mwingi, Usanii ( Utapeli ) na Kuhujumiana kwa Viongozi wa juu.Wale Simba Hoya Hoya hawawezi Tia mguu kwenye Uzi huu, wanachumgulia kwa mbaali Ila huo ujumbe ndiyo ukweli wenyewe, Simba kwa sasa hakuna uongozi wa maana, mambo yote Ni magumashi tu na sidhani kwa big bullet Kama mtatoboa
NakaziaSimba wote mbumbumbu
Kutoboa ni lazimaWale Simba Hoya Hoya hawawezi Tia mguu kwenye Uzi huu, wanachumgulia kwa mbaali Ila huo ujumbe ndiyo ukweli wenyewe, Simba kwa sasa hakuna uongozi wa maana, mambo yote Ni magumashi tu na sidhani kwa big bullet Kama mtatoboa
Ninachojua wana Simba SC Wote ( ukiwemo ) hatuna Akili na hata Mzee Rage Kitambo sana alituita Mambumbumbu na hakika Sisi ni Mambumbumbu wala tusibishe au kukataa.Wewe ndiye huna akili asee, Mimi nitoe. Unachangia kiasi gani kwenye bajeti ya Simba?
kashabikie taarabu man...mpira tuachie sisiNyie utopolo mshawahi kuingia makundi Caf achilia robo fainal
Kuingia makundi na robo ndo ushindi kwenu nyie?Nyie utopolo mshawahi kuingia makundi Caf achilia robo fainal
Tutashuhudia mengi msimu huu,Bundi ameshawika msimbazi 🦉
Acheni Upimbu nyie wasela mavi tu. Unajua Kocha wa Al Ahlly kakaa muda gani, je wajua suala la kocha au mchezaji ni sawa na kubet tu.Ukiyakuta sasa hayo mambumbumbu yanavyojitutumua kujilinganisha na Al Ahally FC au Orlando Pirates FC kiubora utacheka hadi mbavu ziume [emoji16]
Rudi kaisome tena vizuri uielewe taarifaMbona taarifa ipo wash kwamba yeye kocha ndiyo amevunja mkataba anaenda kujiunga na club ya ittihad ya misri!! Acha mihemko
Huna Akili Kocha jana Kutwa alikuwa na Kikao na Management na akasisitiza kuwa hawataki akina Chama, Mkude, Phiri, Boko, Muzamiru, Kapama, Kayombo, Kapombe, Onyango na Agban huku Uongozi ukiwakingikia Kifua ndipo akasema wachague Moja Yeye au hawa 10 ndipo Simba SC ikapima na Kuona hawa 10 wana Faida kuliko Yeye tu Mmoja.Mbona taarifa ipo wash kwamba yeye kocha ndiyo amevunja mkataba anaenda kujiunga na club ya ittihad ya misri!! Acha mihemko
Mimi MINOCYCLINE kama mwana Simba SC Mwandamizi Jamiiforums nakubali kuwa sina Akili na wana Simba SC wote nao hawana Akili.Huu ndo uzi maalumu ambao ni ruksa kuwatukana mashabik wa Simba na wao wakakubali,
Karibun tuwatukane hawa Mazuzu Makolo[emoji1787][emoji23][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu we Jombaa usilete hizo habari za kiduwanzi....... Al Ahlly na Man united sio sawa na simba ktk mifumo ya soka wale Ukiona wanafanya maamuzi ujue maamuz kweli ambayo hayana longolongo kama hukuAcheni Upimbu nyie wasela mavi tu. Unajua Kocha wa Al Ahlly kakaa muda gani, je wajua suala la kocha au mchezaji ni sawa na kubet tu.
Je pale Uingereza tangu Ferguson aondoke Man U wamekuja makocha wangapi? Wamefanya nini? Je, hao Viongozi wa Man U waliowaleta akina Morinyo, Moyes nk je nao walifukuzwa ka unavyodhani wewe na Vilaza wenzio.
SIMBA itabaki kuwa na Mashabiki wenye akili na Weledi wa Ustaarabu, kama una Mihemko na stress za Maisha nenda huko huko kwenye Vinyesi FC
Tena mazezeta kabisaSimba wote mbumbumbu
Hana Akili huyo dame and authentic Fool Ndugu achana nae tu.Rudi kaisome tena vizuri uielewe taarifa
Mimi MabooomuHaiingii Akilini Kocha Mkuu umemtafuta Mwenyewe na Dela lako Mchongoko na Miguu yako ya Fito na Mwili wa Fidodido tena Ukatuhakikishia ni bonge la Kocha halafu leo ghafla tu mnaachana nae.
Maumivu ya Kutuletea Kocha Mzoa Taka wa Jijini Madrid aliyekuwa akifundisha Real Madrid ya Temeke Mwembe Yanga ambaye pia Ulimpamba na kusema alifanya Kazi na Zidane hayajaisha leo tena unarudia Kosa lile lile.
Leo nimeamini hakuna Mashabiki Wapumbavu kama Sisi wa Simba SC ( nami nikiwemo ) kwani kwa ninavyowajua Yanga SC walivyo na wasivyovumilia Upuuzi leo hii hiki Kifidodido cha Mo Dewji kingewatambua na Kingeondoka mazima.
Nilisema na leo narudia tena kuwa Yanga SC kwa Msimu huu ni Bingwa tena na tarehe 23 Oktoba 2022 Simba SC atafungwa na Yanga SC na hata huko CAFCL tunatolewa ndani ya Mechi moja au ya pili tu.
Simba SC wote Hatuna Akili.....!!!!!!!!!