MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
- #41
Acheni kuhangaika na huyo dame Fool.We hizo habari umetoa kweny media ipi mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni kuhangaika na huyo dame Fool.We hizo habari umetoa kweny media ipi mzee
Tabu nae vyeti ni vidogo...na fitina etc hatari yule.Tutashuhudia mengi msimu huu,
Halafu Matola pale kafika eeh, makocha wakuu wanakuja wanaondoka wanamuacha
Ndio maana haondoki kumbeTabu nae vyeti ni vidogo...na fitina etc hatari yule.
Aah....matola pele simba ni kama phil Jones pale man unitedTutashuhudia mengi msimu huu,
Halafu Matola pale kafika eeh, makocha wakuu wanakuja wanaondoka wanamuacha
MINOCYCLINE alishasema kuwa Matola anawapiga misumari makocha wa simbaTutashuhudia mengi msimu huu,
Halafu Matola pale kafika eeh, makocha wakuu wanakuja wanaondoka wanamuacha
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Aah....matola pele simba ni kama phil Jones pale man united
Aondoka aende wapi? Mwisho wake ni kuwa assistant tu au aende Gwambina faraja 2.Ndio maana haondoki kumbe
Mpira ni Robbing
Nafikiri kasema lobbyingMpira ni Robbing
Na Robbing sio dhambi
Kufanya Robbing katika maisha sio dhambi
Haji Manara's voice
😂😂😂🤪
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23] msemaji wa ujinga wa wanasimbaMimi MINOCYCLINE kama mwana Simba SC Mwandamizi Jamiiforums nakubali kuwa sina Akili na wana Simba SC wote nao hawana Akili.
Huna akili peke yakoHaiingii Akilini Kocha Mkuu umemtafuta Mwenyewe na Dela lako Mchongoko na Miguu yako ya Fito na Mwili wa Fidodido tena Ukatuhakikishia ni bonge la Kocha halafu leo ghafla tu mnaachana nae.
Maumivu ya Kutuletea Kocha Mzoa Taka wa Jijini Madrid aliyekuwa akifundisha Real Madrid ya Temeke Mwembe Yanga ambaye pia Ulimpamba na kusema alifanya Kazi na Zidane hayajaisha leo tena unarudia Kosa lile lile.
Leo nimeamini hakuna Mashabiki Wapumbavu kama Sisi wa Simba SC ( nami nikiwemo ) kwani kwa ninavyowajua Yanga SC walivyo na wasivyovumilia Upuuzi leo hii hiki Kifidodido cha Mo Dewji kingewatambua na Kingeondoka mazima.
Nilisema na leo narudia tena kuwa Yanga SC kwa Msimu huu ni Bingwa tena na tarehe 23 Oktoba 2022 Simba SC atafungwa na Yanga SC na hata huko CAFCL tunatolewa ndani ya Mechi moja au ya pili tu.
Simba SC wote Hatuna Akili.....!!!!!!!!!
Huyo sio kocha wa mchongo amepata klabu ya daraja la kwanza misri ndio maana kaomba kuondokaHaiingii Akilini Kocha Mkuu umemtafuta Mwenyewe na Dela lako Mchongoko na Miguu yako ya Fito na Mwili wa Fidodido tena Ukatuhakikishia ni bonge la Kocha halafu leo ghafla tu mnaachana nae.
Maumivu ya Kutuletea Kocha Mzoa Taka wa Jijini Madrid aliyekuwa akifundisha Real Madrid ya Temeke Mwembe Yanga ambaye pia Ulimpamba na kusema alifanya Kazi na Zidane hayajaisha leo tena unarudia Kosa lile lile.
Leo nimeamini hakuna Mashabiki Wapumbavu kama Sisi wa Simba SC ( nami nikiwemo ) kwani kwa ninavyowajua Yanga SC walivyo na wasivyovumilia Upuuzi leo hii hiki Kifidodido cha Mo Dewji kingewatambua na Kingeondoka mazima.
Nilisema na leo narudia tena kuwa Yanga SC kwa Msimu huu ni Bingwa tena na tarehe 23 Oktoba 2022 Simba SC atafungwa na Yanga SC na hata huko CAFCL tunatolewa ndani ya Mechi moja au ya pili tu.
Simba SC wote Hatuna Akili.....!!!!!!!!!
Naongeza sautiiiiNyie utopolo mshawahi kuingia makundi Caf achilia robo fainal