Mlionitukana niliposema kuwa ndani ya Simba SC kuna tatizo kubwa, rudini tena mnitukane

Wale Simba Hoya Hoya hawawezi Tia mguu kwenye Uzi huu, wanachumgulia kwa mbaali Ila huo ujumbe ndiyo ukweli wenyewe, Simba kwa sasa hakuna uongozi wa maana, mambo yote Ni magumashi tu na sidhani kwa big bullet Kama mtatoboa
Ndugu natukanwa mno hata Mtaani na wana Simba SC Wenzangu kwa kusema Ukweli kuwa ndani ya Timu kuna Shida, tumesajili Vibaya, kuna Upigaji mwingi, Usanii ( Utapeli ) na Kuhujumiana kwa Viongozi wa juu.

Wana Simba SC wanapenda Unafiki.
 
Wale Simba Hoya Hoya hawawezi Tia mguu kwenye Uzi huu, wanachumgulia kwa mbaali Ila huo ujumbe ndiyo ukweli wenyewe, Simba kwa sasa hakuna uongozi wa maana, mambo yote Ni magumashi tu na sidhani kwa big bullet Kama mtatoboa
Kutoboa ni lazima
 
Wewe bado ni popoma tu, kwani mtu mkiamua kuvunja mkataba kuna kuwa na kosa gani.

Sababu zipo nyingi, muhimu kuheshimu.
 
Ukiyakuta sasa hayo mambumbumbu yanavyojitutumua kujilinganisha na Al Ahally FC au Orlando Pirates FC kiubora utacheka hadi mbavu ziume [emoji16]
Acheni Upimbu nyie wasela mavi tu. Unajua Kocha wa Al Ahlly kakaa muda gani, je wajua suala la kocha au mchezaji ni sawa na kubet tu.
Je pale Uingereza tangu Ferguson aondoke Man U wamekuja makocha wangapi? Wamefanya nini? Je, hao Viongozi wa Man U waliowaleta akina Morinyo, Moyes nk je nao walifukuzwa ka unavyodhani wewe na Vilaza wenzio.
SIMBA itabaki kuwa na Mashabiki wenye akili na Weledi wa Ustaarabu, kama una Mihemko na stress za Maisha nenda huko huko kwenye Vinyesi FC
 
Mbona taarifa ipo wash kwamba yeye kocha ndiyo amevunja mkataba anaenda kujiunga na club ya ittihad ya misri!! Acha mihemko
Huna Akili Kocha jana Kutwa alikuwa na Kikao na Management na akasisitiza kuwa hawataki akina Chama, Mkude, Phiri, Boko, Muzamiru, Kapama, Kayombo, Kapombe, Onyango na Agban huku Uongozi ukiwakingikia Kifua ndipo akasema wachague Moja Yeye au hawa 10 ndipo Simba SC ikapima na Kuona hawa 10 wana Faida kuliko Yeye tu Mmoja.


Ukiona ID hii inaandika Masuala ya Mpira ( hasa huu wa Tanzania wa Simba na Yanga ) Kaa nayo mbali sawa?
 
Huu ndo uzi maalumu ambao ni ruksa kuwatukana mashabik wa Simba na wao wakakubali,

Karibun tuwatukane hawa Mazuzu Makolo[emoji1787][emoji23][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi MINOCYCLINE kama mwana Simba SC Mwandamizi Jamiiforums nakubali kuwa sina Akili na wana Simba SC wote nao hawana Akili.
 
Afu we Jombaa usilete hizo habari za kiduwanzi....... Al Ahlly na Man united sio sawa na simba ktk mifumo ya soka wale Ukiona wanafanya maamuzi ujue maamuz kweli ambayo hayana longolongo kama huku
 
Mimi Mabooomu

Toka Nchi hii inapata Uhuru Mimi ndio binadamu niliepigwa Faini kubwa kuliko mtu yeyote...

Ina maana mi ndie niliekosea zaidi kuliko watanzania woooote kwenye mpira.. tufanye ndio nmekua hivyo.,. Yaan Mimi ndio kubwa la Maadui Amrish Puri

In Haji Manara's voice
🥺
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…