Mlionitukana niliposema kuwa ndani ya Simba SC kuna tatizo kubwa, rudini tena mnitukane

Mimi ni moja ya watu wanaofatilia POST zako,sometime akili yako ikikaa sawa unaandika vitu vya maana sana ambavyo akili ndogo zinashindwa kukuelewa kabsa zinabaki zinakushambulia tu badala ya kushambulia hoja zako.
 
HUNA AKILI.
 
Hakika jamaa zetu mbumbumbu mmepatwa mwaka huu.
 
Ahahahahaa
 

Ni ujinga, maana ya kusaini mkataba ni kuwa yeyote anaweza kuvunja mkataba. Sasa shida iko wapi kama mkataba umevunjwa na moja wapo ya pande zilizoingia mkataba kwa sababu yoyote?
 
tulia kwanza MZUNGU, hatujamleta vizuri
 
Nadhani ni wachache tunaomkataa Barbara pale Simba maana wengi hawajui chanzo cha shida za ufundi ni yeye. Tuliambiwa makocha zaidi ya 50 waliomba kazi Simba. Eti shortlisting alifanya yeye, uteuzi wa mwisho alifanya yeye. Alipotangazwa Zoran Maki maana yake ni tunda la Upembuzi makini. Baada ya mechi 2 za kimashindano hafai? Nani mwenye tatizo kama siyo aliyemleta?
 
Ila nyie mi watu si ndo mlikua mnasema kocha tumepigwa tafuteni kocha mwingine leo mnaharisha nini sasa? Mimi nimefurahi kuondoka kwake na barbra akiondoka pia sawa tuu Simba ni watu sio barbra wala huyo kocha.
 
Wewe utopolo ndio huna akili.
 
Reactions: Tsh
Ceo wa United bado yupo?
 
Bora umejua mashabiki wa Simba hatufanani na mashabiki wa Yanga na wala hatutaki kabisa kufanana nao
Nguvu Moja [emoji123][emoji123]
 
Inaonekana una utoto mwingi, kwahiyo umelithi mikoba ya shehe Yahya Hussein
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…