Mlionitukana niliposema kuwa ndani ya Simba SC kuna tatizo kubwa, rudini tena mnitukane

Yote kwa yote unaugomvi binafsi na Babra kama ule wa Manara na Karia..na unahamishia ugomvi wako uwe kwa wote.
 
Mimi MINOCYCLINE kama mwana Simba SC Mwandamizi Jamiiforums nakubali kuwa sina Akili na wana Simba SC wote nao hawana Akili.
Ukishakuwa huna akili huwezi kuwa na akili ya kutambua wenye akili na wasio nazo. Taahira hana utambuzi wala uwezo wa uchambuzi.
 
Wewe mbona tunakujua kuwa ni mpenzi wa wananchi!!
 
Hata sasa watakutukana tu
Anatukanwa kwa kutumia lugha ya kishenzi wala siyo kwa sababu ya hoja zake. Huyu jamaa anajiona anajua kila kitu na ukihitilafiana naye lazima uyakoge matusi. Ni mpuuzi fulani tu ambaye ana dalili zote za mtu ambaye dish limeyumba.
 
Simba wote ni nini umesema hapo mwisho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…