Mliooa, hii hali mnaichukuliaje kwa Wanawake?

Ndio mlalamikie kupendwa!!!
Technically ni haki yetu kulalamika coz kwa kiasi kikubwa wanaume wengi wa kiafrika perception yetu kuhusu upendo ni tofauti na reality ya upendo wenyewe.
Wachana na hawa Gen Z, ukiangalia millenials na baby boomers wa kitanzania, hatukuwahi kufundishwa kuhusu upendo. Tulichoona ni mshua yuko arrogant na maza ni submissive na mambo yanaenda. Hakukua na freedom ya kuongelea mambo kama haya.
Sasa growing up, ni wachache wanaeza ku perceive mwanamke kukucheck mara kwa mara kama upendo, moatly tunaona ni nagging tu na jam ya wanawake.
Most people dont know chochote either kuhusu wanwake au wanaume. Tunaendeshwa na mitizamo yetu ya zamani.
 
walioko tikitaka wanakosa mengi kwakwel
 
Mwanamke anakupenda huyo, endelea kumfokea utombewe...hivi unadhani mke wako ni kipande cha gogo hakina hisia yani NYEGE, inawezekana wewe kuongea naye tuu unamtosheleza anaridhika
 
Yani unakumbukwa hata kwa sms unaona kero wakati wenzio huja hapa kulalamika kuwa hawapati hata missed call. Jiangalie usije kujilaumu.
 
Huyo mkewako anakuaminisha Kama Anakupenda huyo anataka ajue Root zako Aende Kwa x wake.
 
Kama upo serious basi we bado mtoto, kitu kidogo tu unashindwa kuelewa anamaanisha nini?
 
Anahamu na wewe ndo maana anakutafuta kila muda ila siku akipata wakumtuliza hisia zake hatokusumbua hata ukae mwaka mzima huko
 
Ndivyo walivyo, yaani wanapenda simu muda wote, ukikaa masaa tu umetuliza kichwa unalalamikiwa "Mbona hunipigii simu!"!

Wanawake pia wana wivu kupita maelezo, Cha kufanya;

Vumilia, atleast mara mbili kwa siku inavumilika.
Akizidi unamchana kiaina kisha unajidai kumbembeleza maana ukimuemdekeza huwezi kufanya mambo mengine, mtakuwa mnashindia simu tu...

Huu ni mojawapo ya uliokuwa ugomvi wetu wa muda wote na mke wangu wa kwanza.
 
Usimzuie, mpe nafasi, ongea nae tu hata mara 10 kwa siku, ni mkeo na we ndo faraja yake pia ni ishara ya kuwa anakupenda na muaminifu, ingekuwa kuna mwanaume mwingine anakuwa nae we ukiwa safari basi usingeona akikusumbua sana katika simu. Usiwape nafasi vidume wengine yaani usifanye atafute faraja kwingine kwa kumfokea
 
Huna jema kabisa yaani. Angekaa kimya pia bado ingekuumiza kichwa.
 
Hakuna namna bora ya kujiweka jirani na mwenza wako uwapo mbali naye zaidi ya mawasiliano ya kila wakati.

Kuna kila dalili aidha una mchepuko au unataka kuchepuka. Kuwa makini
 
Sikatai kwamba asinipigie, shda ni kwamba unaweza kuongea nae saa1, mnaongea ata dk 30 alafu baada ya lisaa limoja anabeep tena umpigie ! ata sasa hvi naona anabeep[emoji848]

Ana kazi au ni mama wa nyumbani?
 
Hiyo ndio raha ya kupendwa sana, shukuru MUNGU unapendwa sana mpka anaona wivu hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…