Mliooa wanawake wenye changamoto hii mnafanyaje?

kuna dawa za asili ambazo zinasaidia kuondoa hiyo shida ya mwanamke mwenye mji mengi. Pia ziko za kusaidia mwenye uke mkavu uwe na majimaji. Hata mwanamke asiesikia nyege dawa zipo
 
Hii hali ihifadhi baadae tutaitumia kama reference pale atakapokuwa haloeshi godoro... Penzi jipya huwa tamu sana
 
Iweeee bojooo!!
 
Asee dunia haina usawa, Dodoma tunahangaika maji huko mnayarusha kweny mashuka?
 
Samahani napata wapi hizi cover kwa dar tafadhali,natanguliza shukrani
 
Ni vema mngepata watoto kwani itakuwa ni rahisi kusingizia wao kuwa wamekojoa kitandani ila wakikua sasa ndiyo shida, ushauri wangu kwenu inabidi mnapo gegedana muwe mnalala sakafuni ili iwe rahisi kwenu kupiga deki.
 
Tukirusha maji shida tusiporusha shida pia🤔
Jamaa anafurahia tuu hilo bwawa la mwalimu Nyerere, ila anatafuta namna ya kudhibiti mafuriko.
Kumwagiwa yale mafuriko raha sana, tàtizo haya mashuka na godoro.
 
Sasa mkuu tufanyie chini?
Ila una bahati aisee, nikipata wa hivyo nitashukuru kweli.
Magadoro mengi tuu yana plastic covers. Tafuta ma mataulo makubwa Kama 10 hivi yanatosha.
Yale maji ya moto yanatia raha sana wakati anakumwagia.
 
Aisee mwache huyo mwanamke mara moja atakutia hasara, naomba unipe connection yake aje nyumbani nimseme, tabia gani hii?
 
Ila una bahati aisee, nikipata wa hivyo nitashukuru kweli.
Magadoro mengi tuu yana plastic covers. Tafuta ma mataulo makubwa Kama 10 hivi yanatosha.
Yale maji ya moto yanatia raha sana wakati anakumwagia.
Hakuna haja ya kuweka mataulo kitandani, awe tu na madebe au magunia kadhaa ya mchanga chumbani ili wakitaka kugegedana wanamwaga mchanga kitandani kulilinda godoro lisiharibike haraka.
 
..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…