Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

We ni mvulana
Naona akili yako Bado kubeba mambo ya wanaume
Huyo jamaa anaboa sana mkuu watu wako busy kujiandaa na usaili na kupeana dondoo za kutoboa yeye akiona tu aliyetajwa ni mwalimu ni kudandia na kuharibu uzi binafsi nilimuona wa maana kwenye ule uzi wa utumishi but now nimempuuza

Ana ushamba mwingi wa kishabiki
 
Hii imekanushwa na utumishi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamaa Lina maudhi sijui senge la wap hili?
Huo utaratibu ni mpya Kwa walimu na sio mtu ni mtaalamu wa IT laZima watu kwenye ku apply watakwama watakuwa hapa kuulizia mwongozo Kwa wengine ili ku share
Litakuja hili jamaa mara walimu mnatia aibu, mara hili nalo la kuulizia
Yaani lipo hapa kutafuta faraja.
Ningekuwa naweza kukutana nae nikamzoe ngwala matata japo nikatumia mafunzo yangu ya pale Mlale JKT
 
Kwan ww uko wapi mkuu πŸ˜‚
Mm niko Arusha - daraja mbili
 
Hahahhah eti mlale 842kj hongera mate bila shaka embakasi unaifaham vizuri

Huyo mpuuze tu mtatupiana matusi yasiyo na maana kwa mtu asiye na muhimu kwenye uwanja wa ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…