Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

Hapo c bado miaka kama 30 tuu, kwahy n michache.
Mingi sana hiyo mkuu assume nimebakiza miaka 14 TU ya kusaka keki ya taifa kinyume na hapo nakuwa na 46+ ntakuwa nje ya mfumo yaani Mzee sitokuwa na sifa ya hata kusogelea tangazo la ajira.
Wakati nafasi ninayoitegemea aliyekwepo anatundika daruga 2052 so balaa hili
 
πŸ˜‚ Mm nmebakisha miaka 16 ili serikali inipe mkono wa kwaheri 😭
Ila hawa ndugu zetu walioajiriwa serikalini kuna baadhi wanalalamika ila aisee mm nawaonea wivu mno.
 
Mimi niko kada ya Afya mkuu. Mi siyo mwalimu
 
πŸ˜‚ Mm nmebakisha miaka 16 ili serikali inipe mkono wa kwaheri 😭
Ila hawa ndugu zetu walioajiriwa serikalini kuna baadhi wanalalamika ila aisee mm nawaonea wivu mno.
Tuanzishe kampeni ya kuwasapuza wastaff kAzi mkuu
tukizubaaa aki ya nani keki ya taifa atutolamba.
Kwa tumiaka tulichobakiza na aina ya mikando ya utumishi bila kutuonea huruma atutoboi
 
Mbona wale waalimu wasiotaka usaili hawaonekani tena πŸ˜‚
 
Tuanzishe kampeni ya kuwasapuza wastaff kAzi mkuu
tukizubaaa aki ya nani keki ya taifa atutolamba.
Kwa tumiaka tulichobakiza na aina ya mikando ya utumishi bila kutuonea huruma atutoboi
Ila inategemea na umesoma nn, kuna kada zingine utasugua benchi sana.
Sasa Mm nlichosomea ntaajiriwa TBC tuu 😭 na hawataki kustaafu wakat naona kuna wazee kibao wanafanya kazi yangu 😭
 
Vijana fanyeni tu utaratibu mjiajiri. Huku mtaani ukiamua kupambana kwenye biashara ya uchuuzi, maisha siyo magumu kivile. Kazi yenu kubwa hapo ni kutafuta tu mtaji wa kuanzia. Achaneni na haya mauzauza ya serikali ya CCM.

Unahangaishwa kufanyiwa usahili, huku hao wahusika wenyewe wa usaili tayari wakiwa wana majina ya ndugu zao wa kuwaajiri. Yaani ni wachache pekee kati yenu ndiyo mtapata hizo ajira kwa haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…