YAan yule angeumia tyu ningemwita mwehu sema marehemu asemwi nilishangaa sanasana..sisiwengine hata milioni tunakomaa weka Bank dunia imebadilika sana mkuuSana sana Mkurugenzi.... Mfano lile tukio la mfanyabiashara kuuwawa mlangoni kwake kule Njombe....
Yaani eti unaondoka na makusanyo nyumbani Million 40..??? Kweliii??
Sawa tajiri p didy katangaza nafasi za kazi umeziona.Punguza fikra za kimasikini
PAMBANA MWANAUME.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Dah mmeshaingia hadi benki nakutaka kujua mikopo yakeKwa mipango yake hiyo, atakuwa tu na mkopo kaacha benki ila bila shaka bima itakuwepo.
Unamjua nini au ulishawahi mpa rosti? 😄 🤣 😂 😆Msiba uko wapi niende? ...umesema Swaswa...swaswa ipi mnarani au?.
AmKATRINA
Mumeo anatuuziagaNa wewe unauza huduma chako ni chako nini?
Igonge Nguzo Roof Yote Ikatike. Be Serious ManNjia panda ya kwa waziri mkuu....
Aligonga nguzo.
Ila huu msiba una vituko🤣Nyie endeleeni kutamani maisha ya watu wenye pesa itakuwa kuku alikula punje chache.
Ikiwa umejenga msikiti halafu wasimamizi wa msikiti wakawa wazinziUkijenga msikiti watu wakiswali hata ukiondoka salio la thawabu unapata, ukijenga baa ukifa salio la dhambi unapata kila uchafu ukifanyika
Ndiyo mnama ni mkihoso wa kirima kama sikosei.Atakuwa ni mkibosho huyo akina Makoi