Amen Mjukuu πππMwenyezi Mungu aendelee kukutunza mkuu
Are you serious?anipe Uhai mrefu ili nipate muda mwingi wa kufurahi nanyi Wajukuu zangu π€
Hivi hujui upweke unaongoza kuua Wazee, ungependa nami unichukue huo upweke πAre you serious?
Wengi ni wale waliomqliza chuo pale na kubakia maeneo ya pale(Hii ni kutokana na nilizoshuhudia)Mkuu wanaofanya vitendo hivyo ni wazaliwa wa hapo Maana Dodoma sasa hivi ni jiji kama Dar na jiji loote linakusanya Jamii tofaufi.
Jamaa alijitunzaNdoa ilikuwa December hii kwao Kibosho, hajaacha mtoto.
Kila. Afsi itaonja mauti ... R.I.P Mmiliki wa chako ni chako BarPumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.
Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad ππ)
3. The Avec hii imefunguliwa mwaka huu mwanzoni na ina vibe si la kitoto.
Mdogo sana, wa mwaka 88 au 89 kama sikosei.
Ajali inamaliza ndoto za vijana wengi Duniani.
Huwa anatembeaga na pesa kwenye gari, sijui kama zimesalimika
View attachment 3142700
View attachment 3142627
View attachment 3142705View attachment 3142654
Ungenicheck inbox...hata hivyo sipo poa sana GHivi hujui upweke unaongoza kuua Wazee, ungependa nami unichukue huo upweke π
At least ukiwa na Wajukuu vile wanavyokufanyia fanyia fujo basi walau upweke unaondoka
Jana umesubiriwa hadi kahawa ikapoa π
Kusema kuwa alikuwa anafanya biashara haramu ya kuuza pombe na kufuga malaya huo ni unafiki? Wewe ni mkristo?ACHA UNAFIKI HAUJENGI
Wajibu wa mtu yeyote anaemuamini Mungu mmoja ni kukemea dhambi au Wewe ni mkristo?Wewe za kwako ni zipi ili ukitangulia ukemewe? Au huna dhambi?
Nitafanya hivyoUngenicheck inbox...hata hivyo sipo poa sana G
Are you serious?
Swali ni za kwako ni zipi ili siku ikifika zikemewe? Au huna dhambi?Wajibu wa mtu yeyote anaemuamini Mungu mmoja ni kukemea dhambi au Wewe ni mkristo?
π€£π€£π€£πNitafanya hivyo
Pole sana Kwa kutokuwa sawa, japo nina amini Kwa glass moja ya kahawa ya Jana ungekuwa poa leo π€
Taarifa inasema hajaoa ana mchumba, ndoa ilikuwa ifanyike mwaka huu mwishonimbona huk9 juu umesema ameoa mwaka jana na sherehe Ikafanyika kwenye apartment zake?? huku chini unasema ndoa ilikua iwe dec mwaka huu .
Kuna uzembe sana barabarani. Watu wanaendesha kama wehu. Yaani ajali nyingi ni za uzembeKwani hizo Sheria unadhani zinazidi hata kurasa mbili?
Tatizo kubwa ni uzembe wa madereva na mwendo kasi.
Different times......different life styles....different life spans.Mbona hatupati umri kama mzee mwinyi au msuguri?
Kwani marehemu alizitaja dhambi zake au ilikuwa inaeleweka na kuonwa na kila mtu kuwa anafuga danguro na kuuza pombe?nijibu wewe ni mkristo?Swali ni za kwako ni zipi ili siku ikifika zikemewe? Au huna dhambi?
Nakereka mno dhidi ya hawa wenzetu wasiozingatia lugha sanifu ktk uwasilishaji maoni yaoAjari β
Ajali β
Jibu lenye akili zote sabaKwani marehemu alizitaja dhambi zake au ilikuwa inaeleweka na kuonwa na kila mtu kuwa anafuga danguro na kuuza pombe?nijibu wewe ni mkristo?