TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

Pumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.

Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad 😔😔)
3. The Avec hii imefunguliwa mwaka huu mwanzoni na ina vibe si la kitoto.

Mdogo sana, wa mwaka 88 au 89 kama sikosei.
Ajali inamaliza ndoto za vijana wengi Duniani.

Huwa anatembeaga na pesa kwenye gari, sijui kama zimesalimika
View attachment 3142700
View attachment 3142627
View attachment 3142705View attachment 3142654
Kila. Afsi itaonja mauti ... R.I.P Mmiliki wa chako ni chako Bar
 
Mbona hatupati umri kama mzee mwinyi au msuguri?
Different times......different life styles....different life spans.

Mzee Mwinyi & Gen Musuguri born in 20th century na wakaishi most of their lives in the 20th century....wameingia 21st century washakuwa wazee 70+ years...hawakuwa na mambo mengi kama nyie vijana wa karne hii ya 21...

Ili upate umri ule inabidi na life style yako ifanane nao....utaweza with all the peer pressure around you...usipoweza, surely utakufa mapema....kama siyo ajali kama hii kwenye uzi huu basi matatizo mengine yanayosababishwa na life style.
 
Back
Top Bottom