Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Amen Mjukuu 🙏🙏🙏Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza mkuu
Nawaombea nanyi pia maisha marefu.
Msisahau kumshukuru mola wetu Kwa zawadi ya maisha aliyotupatia
Kwa kweli kama itampendeza Mungu anipe Uhai mrefu ili nipate muda mwingi wa kufurahi nanyi Wajukuu zangu 🤗