digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Uko sahihi mkuu,mtu anajidai kusahihisha mtu tena Yuko siriazi huku akishindwa kujua aina ya kosa.Kuna tofauti kati ya typo na kutojua kuandika neno. Kwa kutumia akili za kawaida kabisa unaweza kung'amua kuwa huyu aliyeandika ''kutiza'' alitaka kuandika ''kutoza''. Huyo wa ''ajari'' ni wale wazee kata!
MtiAisee pole sana kwa ndugu na familia za muhusika lakin pia marafiki, impact inaonekana kubwa mno , aligongana na semi au kitu gani?
Kuna mdau Mmoja humu alianzisha mada Moja kuhusu kukimbiza brevis kwa km 150/hr.Yaani!Pombe hizo yeye ndio kaufuata mti
Hadi Brevis imehama road haikuwa speed ya kawaida
Aisee hatari sana, seems alitoka nje ya njia kwenye speed kali
Au makota barChako ni chako ni kama ufike Arusha usifike Picnic
Poleni kwa msiba wana familia wotePumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.
Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad 😔😔)
3. The Avec hii imefunguliwa mwaka huu mwanzoni na ina vibe si la kitoto.
Mdogo sana, wa mwaka 88 au 89 kama sikosei.
Ajali inamaliza ndoto za vijana wengi Duniani.
View attachment 3142627
View attachment 3142654
Ndiyo maana nikasema inabidi uzingatie sheria za usalama. Na sheria moja inasema mawazo yako yote yawe kwenye unachofanya i. e. uendashaji. BTW hata madereva nao ni binadamu na vichwa vyao vina mambo mengi. Tena wengine unaweza kukuta wana mawazo kushindwa matajiri wengi.Ni ngumu sana kuconcentrate barabarani kwa sababu kichwa chako kinakuwa na mambo mengi
Mkuu matajiri wana siri nzito Mungu ansaidie nisitamanPumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.
Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad 😔😔)
3. The Avec hii imefunguliwa mwaka huu mwanzoni na ina vibe si la kitoto.
Mdogo sana, wa mwaka 88 au 89 kama sikosei.
Ajali inamaliza ndoto za vijana wengi Duniani.
View attachment 3142627
View attachment 3142654
Kuna wanawake utasema hawana menoUsiendeshe huku unapigishwa bj utagonga lami
Isijekywa kikombe. Cha njano kimemchykuaPumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.
Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad 😔😔)
3. The Avec hii imefunguliwa mwaka huu mwanzoni na ina vibe si la kitoto.
Mdogo sana, wa mwaka 88 au 89 kama sikosei.
Ajali inamaliza ndoto za vijana wengi Duniani.
View attachment 3142627
View attachment 3142654
Asante Detective JAisee pole sana kwa ndugu na familia za muhusika lakin pia marafiki, impact inaonekana kubwa mno , aligongana na semi au kitu gani?
Ni mfanyabiashara wa siku nyingi hapo?Aise....makoi naona umeondoka
Nakumbuka enzi hizo chako n chako inafunguliwa tulipiga sana maii hapo
Ova
Namjuwa kitambo sana alianzaNi mfanyabiashara wa siku nyingi hapo?