TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

Poleni sana mkuu. Inaonekana unamfahamu vilivyo. Sad ameondoka kijana, taifa likiwa bado linamhitaji.
Kama alivyoandoka mchangiaji mmoja hapo juu, ukishafika level ya kuwa na issues nyingi katika maisha na uchumi imara, ni vema ukiwa na dereva especially nyakati za usiku. Huyu naamini alikuwa na mambo mengi yanahitaji attention yake.
Tujifunze. Mambo mengine siyo luxury ni uhalisia wa maisha.
 
Baada ya Tajir Saul
 
Umeongea ukweli matajiri wetu jifunzeni kugawa majukumu kama haya.
1 personal driver
2. Loan manager/ adminstrtor
3. Persnal bussiness advisor/consultant
4. Health adviser or personal doctor.
Utakua umejipunguzia mawazo na stress za kufanya ajali na pressure za mwili, kweli unamiliki biashara worthy 300m ila kila kitu unataka ufanye mwenyewe
 
Namfahamu kwa sababu alishawahi kuwa shemeji yangu kwa dada Manka.
God alikuwa na pesa, ila alikuwa mcheshi na wakati mwingine akikasirika kaa mbali nae sana
Ni mtu anayekunywa pombe, tena mnywaji mzuri tu yeye na kampani ya wachaga wenzake ila alifanya maendeleo makubwa sana.
Ana asset's nyingi tu.

Kampani yake wote walikuwa wana biashara zao na maisha yao.
Watalia sana maana walikuwa kila sehemu wako wote.
Poleni sana Godi umeme, Mwacha, Dennis na Imma wa SaturdayBar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…