Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.
Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad 😔😔)
3. The Avec hii imefunguliwa mwaka huu mwanzoni na ina vibe si la kitoto.
Mdogo sana, wa mwaka 88 au 89 kama sikosei.
Ajali inamaliza ndoto za vijana wengi Duniani.
Huwa anatembeaga na pesa kwenye gari, sijui kama zimesalimika
Mbona kafanana na Kenyatta?
Hovyo kweli eti moja kwa moja kwenye moto! Moto wa nyoko!Mkuu ulijua je kama hajatubu, unataka kuchukua majukumu ya Mungu sijui walokole mkoje?
oook, asante sanaWanakodi eneo kwa kutumia jina hilohilo.
Nilishafafanua awali
Unawajua wachaga ww na fungus kiununo kike kiumePoleni sana wafiwa. Ukishafikia level fulani ya mafanikio hupaswi kuwa unaendesha gari lako wewe mwenyewe unapaswa kuendeshwa na dereva mzoefu
Siyo tu wenye magari wawe waangalifu barabarani. Hata watembea kwa miguu wawe waangalifu nao.Jamani muwe waangalifu sana barabarani maana sheria hazifuatwi kabisa huko
Ajali kila leo za kizembe sana zinatokea
Overtake mnatoka tu na bila kujua utavuka au la
Ukiendesha gari jione kama wewe ndio mzima na wengine wote wehu walioshika usukani
Kwa hiyo lazima uwe makini sana
Pole sana kwa wafiwa na walioguswa na msiba
Nimekuambia hivi kwa mujibu wa dini ni kwamba dhambi usipoikemea hata wewe utaulizwa hiyo siku kwahiyo marehemu hakuwa mtu mzuri kwanini auze pombe na kufuga malaya?Dhambi ni kufanya biashara ya pombe tu? Wewe dhambi zako umejiandaa vipi kuzitolea majibu?
Kwani alikuwa anakimbilia wapi?Pumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.
Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad 😔😔)
3. The Avec hii imefunguliwa mwaka huu mwanzoni na ina vibe si la kitoto.
Mdogo sana, wa mwaka 88 au 89 kama sikosei.
Ajali inamaliza ndoto za vijana wengi Duniani.
Huwa anatembeaga na pesa kwenye gari, sijui kama zimesalimika
View attachment 3142700
View attachment 3142627
View attachment 3142705View attachment 3142654
Ila kwanini vichwa vyenu vigumu kuelewa?Nimekuambia hivi kwa mujibu wa dini ni kwamba dhambi usipoikemea hata wewe utaulizwa hiyo siku kwahiyo marehemu hakuwa mtu mzuri kwanini auze pombe na kufuga malaya?
Kila la heri Mkuu 🙏Tunaondoka Jumatano jioni kuelekea Kibosho
Tusipende sana kuwa Matajiri kwa kutegemea Nguvu za Kimaagano ambazo mara nyingi hatuwezi Kuyatekeleza kwa kushindwa Masharti yake.Pumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.