TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

Mb
Pumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.

Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad 😔😔)
3. The Avec hii imefunguliwa mwaka huu mwanzoni na ina vibe si la kitoto.

Mdogo sana, wa mwaka 88 au 89 kama sikosei.
Ajali inamaliza ndoto za vijana wengi Duniani.

Huwa anatembeaga na pesa kwenye gari, sijui kama zimesalimika
Mbona kafanana na Kenyatta?
 
Jamani muwe waangalifu sana barabarani maana sheria hazifuatwi kabisa huko
Ajali kila leo za kizembe sana zinatokea
Overtake mnatoka tu na bila kujua utavuka au la
Ukiendesha gari jione kama wewe ndio mzima na wengine wote wehu walioshika usukani
Kwa hiyo lazima uwe makini sana
Pole sana kwa wafiwa na walioguswa na msiba
Siyo tu wenye magari wawe waangalifu barabarani. Hata watembea kwa miguu wawe waangalifu nao.

Mara nyingi nikiwa nimesimama nasubiri magari yapungue nivuke, gari za serikali hasa SUV zina tabia ya kuover take sana. Mtembea kwa miguu umeshajiridhisha umeangalia pande zote kwa umakini, unashangaa SUV ya serikali inatokeza pembeni kwa mwendo mkali. Ukiwa na haraka ya kuvuka inakupitia
 
Pumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.

Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad 😔😔)
3. The Avec hii imefunguliwa mwaka huu mwanzoni na ina vibe si la kitoto.

Mdogo sana, wa mwaka 88 au 89 kama sikosei.
Ajali inamaliza ndoto za vijana wengi Duniani.

Huwa anatembeaga na pesa kwenye gari, sijui kama zimesalimika
View attachment 3142700
View attachment 3142627
View attachment 3142705View attachment 3142654
Kwani alikuwa anakimbilia wapi?
 
Nimekuambia hivi kwa mujibu wa dini ni kwamba dhambi usipoikemea hata wewe utaulizwa hiyo siku kwahiyo marehemu hakuwa mtu mzuri kwanini auze pombe na kufuga malaya?
Ila kwanini vichwa vyenu vigumu kuelewa?
Aliyewaambia alikuwa anafuga malaya ni nani?
Hivi, kwa akili yako kuna sehemu ambayo utaweka bar waje kunywa wanaume pekee?
Halafu naomba nikusahihishe kitu kimoja usichokijua, ukiongelea Chako ni Chako unamaanisha ni eneo la kuanzia huku barabarani kwa Montana mpaka usawa wa Platinum bar.
Eneo lote hilo wanawake huwa wanasimama kutafuta pesa ila si ndani ya bar, elewa kiswahili. Halafu wanawake wanaojiuza wanapatikana kule chini kwa Mwana bar uwanjani au tukupeleke? Msiwe mnajifanya wasafi sana kiasi muanze kuhukumu wenzenu acha kila mtu akahukumiwe kwa stahiki na matendo yake. Huwa nakerekwa sana kuona binaadam ambaye nae ni nyama na mifupa anapoanza kutoa hukumu ya fulani wakati hamjui hata chembe tena ndio kwanza anamsikia. Mlishawahi kuulizia historia ya wazazi wenu walipokutana?
KAA KIMYA NA UENDELEE KUSOMA COMMENTS ZA WENZAKO MAANA HUIJUI CHAKO NI CHAKO NA WALA HUMJUI MAREHEMU ILA UNAENDESHWA NA MIHEMKO TU.
 
Pumzika mpambanaji, ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.

Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar (hii aliifunga ili kuifanyia marekebisho, na mpaka sasa iko kwenye matengenezo, so sad 😔😔)
3. The Avec hii imefunguliwa mwaka huu mwanzoni na ina vibe si la kitoto.

Mdogo sana, wa mwaka 88 au 89 kama sikosei.
Ajali inamaliza ndoto za vijana wengi Duniani.

Huwa anatembeaga na pesa kwenye gari, sijui kama zimesalimika
View attachment 3142700
View attachment 3142627
View attachment 3142705View attachment 3142654
Tusipende sana kuwa Matajiri kwa kutegemea Nguvu za Kimaagano ambazo mara nyingi hatuwezi Kuyatekeleza kwa kushindwa Masharti yake.

Mwenyezi Mungu pekee anatosha kwa kukupa Baraka zake zote kama tu Ukimuamini na ukiishi kutokana na Amri Kuu zake pamoja na miongozo yake.
 
Back
Top Bottom