Hii wanaichukulia POA ila imeleta taswira mbaya SANA kuona mafisadi wanakaa sehemu MOJA na RAIS DAH tuna safari NDEFUFedha za Escrow hizo - WEZI MALUUNI KHABITHI
Chama kimekubali kuwa na majizi na msfisadi ndani.View attachment 3439412
Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu
View attachment 3439522
Huyu jamaa si tuliambiwaga kafa baada ya kuachiwa huyuπ kumbe yupo bado. Atakuwa alijificha DubaiπView attachment 3439412
Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu
View attachment 3439522
Hela ya plea bargain ziko wapi?Please bargain ipo kisheria na inatumika Sana.
Majizi aliyotuambia JPM yamerudi kwa hasira kali - watanganyika sasa tunakwenda kupigwa mnada tujiandae kisaikokojia.
ππππHatomsahau Magufuli mpaka anakufa huyuπ€£π€£π€£
πππππALIKUA analia KILA SIKU mara ana uvimbe tumboni mara Nini SIJUI asee magu alichukiwa na madon SANA, nmeshangaa na HUYU mzee yumo TENA ccm
Kwishaaaa
Magu alikuwa hacheki na kima yeyote.ππππ
Manji ndo hadi akafia huko marekani.
ππππAlitishia puto linataka kupasuka tumboni, akaambiwa liache lipasukeπ€£π€£π€£
Devotha minja,naye kateuliwa kuwa mgombea mwenzaπ€£Magufuli alifeli sana kumteua sa100 kuwa makamu wake, ni dhahiri inaonekana wazi kabisa kuwa maadui na wahujumu wa Taifa hili walikuwa marafiki wa sa100, haiwezekani sa100 apokee pesa za wezi na mafisadi na wahujumu uchumi kwa ajili ya CCM alafu asijue anakuja kuwalipa vipi.
Hatimaye wizi na uporaji unarejea tena kwa kasi Tanganyika. Na wakati huu tutapigwa na kuporwa rasilimali zetu mpaka maji tuyaite mma
ππππSaa hizi Singasinga liko high table linagongesha glass za mvinyo aghali ya Marseille! Teh.
Haswaaa, ππππMagu alikuwa hacheki na kima yeyote.
πππππNmekaangalia hako kazee NAHISI moyoni kanajisemea, "NYIE wazalendo mchwara mlishangilia mi KUKAA jela ETI.
NGoja niwanyoosheee"
Full stop
Kwishaaaa
πππππHuyu jamaa si tuliambiwaga kafa baada ya kuachiwa huyuπ kumbe yupo bado. Atakuwa alijificha Dubaiπ
Mi5 tena kwake.Sa100 ni Rais wa wezi majambazi maraya vibaka na mafisadi
Sasa unamuuliza nani kuhusu hizo hela? Inamana we hujui watu wengi hasa matajiri waliachiwa kwa Plea Bargain? Acha kujitoa ufahamuHela ya plea bargain ziko wapi?
Suku gangSasa unamuuliza nani kuhusu hizo hela? Inamana we hujui watu wengi hasa matajiri waliachiwa kwa Plea Bargain? Acha kujitoa ufahamu