Hivi Ulaya unaweza kukiri makosa, ukamalizana na DPP ?Hakuachiwa huru, alikiri makosa wakamalizana na DPP nje ya mahakama.
Huyu tapeli haruhusiwi kukanyaga Kenya.
Trillion 2 alizosema CAG hazijulikani ziliko,zilienda wapi!?..hizo hela(plea bargain) walizotoa mafisadi Ili waachiwe kwa nini zilikua china kwenye akaunti binafsi?Hivi Ulaya unaweza kukiri makosa, ukamalizana na DPP ?
Yani Magufuli, the best ever, the most serious tough-on-crime leader we have ever had na yeye anaamini jambazi kaa nae chini myamalize. Na alisema tuwatoe? wakafanye biashara, watafute pesa tupate na kodi
Kwa hiyo, mpaka tuje tumpate:
1. Anaechukia majambazi ya umma kama Magufuli
2. Na huyo Magufuli mchukia maovu mtakae mpata awe kichwani anaelewa maovu yanapigwaje vita
Hawa wa sasa sio hawapendi uovu, bali wanafurahia kwenye uovu. Kuna bacteria fulani wanastawi kwenye maji ya moto, yenye acid kali, na gesi chafu ya SO2. Ukiboresha mazingira wanakimbia. Wanaitwa ARKAE. Ndo hawa viongozi na wafanya biashara wa sasa.
Wangepatikana hata mawaziri kumi kama Magu Yaani kaliba yake basi Nafikiri leo tungekuwa mbaliAlitishia puto linataka kupasuka tumboni, akaambiwa liache lipasuke🤣🤣🤣
Cocastic habari mkuu, Kuna JAMBO NILI taka NIKUULIZE, samahani lakini, ni kuhusu dsm celebrity mmoja kama huto jali😂😂😂😂😂
Yupi huyo??Cocastic habari mkuu, Kuna JAMBO NILI taka NIKUULIZE, samahani lakini, ni kuhusu dsm celebrity mmoja kama huto jali
Kwishaaaaa
Ndiyo yeye huyo....yale mabilioni ya ESCROW yaliibwa na kugawanywa kama njugu wakati wa Jakaya.Huyu si ndie aligawa hela za mboga kwa Prof Tibaijuka, Chenge, na Askofu nani sijui!
Aaliya mtangazaji WA wasafi media yule BINTI mkuuYupi huyo??
wakulima na wafanyakazi walipigwa dafrao kwa azimio la zanzibar na Nyerere akiwa hai na hakuna kitu cha maana aliweza kufanya...Natafakari hapa kama Chama cheti kitukufu bado ni Cha WAKULIMA na WAFANYAKAZI
Nchi imetekwa na majambazi.Hawa watu hawana tena uoga wowote.
Benki aliyotumia ya kiswahili(mkombozi) ndiyo habari zikavuja, Singa alipitishia benki ya wazungu(stanbic), huko hela zilibebwa kwa magari kimya kimya na kiasi zikaishia jumba jeupe la magogoni...mkazi wa ile nyumba wa wakati huo akajitokeza hadharani na kudai hela zile hazikuwa za serikali...shame man.Lile gawio la Ruge liliwekwa wazi. La Singasinga likabaki kuwa siri sirini. Si majina wala idadi ya pesa vilijulikana.
Kuhusu nn sasa?Aaliya mtangazaji WA wasafi media yule BINTI mkuu
Full stop
Kwishaaaaa
eti ana puto limepasuka anataka puto jipya la kupumulia magufuli akasema Tanzania oxygen ni bure kwa nini atumie puto.kaa ndani.ALIKUA analia KILA SIKU mara ana uvimbe tumboni mara Nini SIJUI asee magu alichukiwa na madon SANA, nmeshangaa na HUYU mzee yumo TENA ccm
Kwishaaaa
Hapana NILIKUA nauliza jinsi ya KUMPATA Kuna project zinazo husu matamasha na plan KU launchs soon njia nyepesi kufanikisha hili nahitaji WATU hasa celebrities nika fikiri njia nyepesi nikuaanza NAE, then atajua itakuwaje, CHANGAMOTO pale KWENYE media SIO sehemu SAHIHI kumfata MTU on first time see, natafuta sehemu tofauti au njia mbadala jinsi ya KUMPATAKuhusu nn sasa?
Km una project nafikiri ungemfuata pale Media, itakua rahisi na vitu vingine kuhusu hiyo project husika.Hapana NILIKUA nauliza jinsi ya KUMPATA Kuna project zinazo husu matamasha na plan KU launchs soon njia nyepesi kufanikisha hili nahitaji WATU hasa celebrities nika fikiri njia nyepesi nikuaanza NAE, then atajua itakuwaje, CHANGAMOTO pale KWENYE media SIO sehemu SAHIHI kumfata MTU on first time see, natafuta sehemu tofauti au njia mbadala jinsi ya KUMPATA
Full stop
Kwishaaaa
Uwepo wake TU pale,ni mkakati na HESABU zake NDO zimemtuma, sahivi ATA traficks wataogopa kumsimamisha barabarani mkuu haya maisha tuendako itakuwa masikin na tajiri gepu lake mbingu na ardhi. Ukimchokoza HUYU mzee uraiani kimbia TU maana Kuna kisasi anakisubiri ULE uso inaonesha BADO ana dukuduku moyoni kupiga CHUMA raia ni kugusa TU. Halafu HAMNA vyenye tuta mfanyaeti ana puto limepasuka anataka puto jipya la kupumulia magufuli akasema Tanzania oxygen ni bure kwa nini atumie puto.kaa ndani.
Aliteseka Sana sema ana roho ngumu kama paka Mungu amuweke Baba WA watu Singa na puto lake
Nisha jaribu kipindi kile, haikua nyepesi na hairuhusiwi ispo kua kwa appointment rasmi AMBAYO ye mwenyewe amekupangiaKm una project nafikiri ungemfuata pale Media, itakua rahisi na vitu vingine kuhusu hiyo project husika.
Oooh bas sawaa.Nisha jaribu kipindi kile, haikua nyepesi na hairuhusiwi ispo kua kwa appointment rasmi AMBAYO ye mwenyewe amekupangia
Full stop
Kwishaaaa