Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury ni Joseph Ngeleuya

Asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.

P
Mkuu hapo mwisho namna umemaliza ndo utata wenyewe unaozungumziwa.....

Kumbuka wanasiasa wetu hutumia mlango wa nyuma kuficha hela zao.
 
Asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.

P
Waweza kuwa mmiliki halali au waweza pia kuwa mmiliki kivuli. Yote yawezekana lakini hiyo siyo fact yakuweza kuweza kudhibitisha umiliki huo bado fact hiyo ina maswali mengi yahitajio majibu..

Hongera kwake mwenye mabasi kwa upambanaji wake na kuisaidi serikali kulipa kodi
 
Ndio maana wazalendo tunataka Lisu achukue nchi, 😂Tutataifisha kila kitu
Wazalendo wepi mfano?

Chadema anvao viongozi waje wakuu watoto wao ni Raia wa Marekani Mbowe na Tundu Lissu? Ambao huganga njaa Tanzania kukusanya ruzuku za kodi za wakalahoi wakalishe watoto wao na kuwaoa maisha bora watoto wao raia wa Marekani?

Wanapora hela za maskini Tanzania kupitia ruzuku na michango ya wanachama ya kadi na ukereketwa toka wakerekerwa wa Chadema maskini ku Finance posh life styles za watoto wao raia wa Marekani

Wakiitusha maandamano haramu watoto wa maskini ndio wanakula virungu vya polisi watoto wao wakila vata hoteli za kitalii Marekani waliko na uraia
 
Watanzania wa sasa huwezi kuwadanganya kwa vijikaratasi, wanajua ukweli uliofichika. Tuchimbie pia utujulishe ni nani mmiliki wa Singida Big Stars
 
Kwa hiyo tumfanyeje huyo Ngeleuya?
 
Hakuna marefu yaso ncha. Alaf huyo mtu anawaambia wazazi wawajengee vijana uwezo wa kujiajiri as simple as that.
Kabla hajaingia kwenye siasa na uwaziri alifungwa na nn asijiajiri ndio amiliki hayo mabasi??
 
🤣🤣🤣🤣 Unajua jiwe likirushwa gizani tu lazima waanze kutoka mmoja baada ya mwingine!!
 
Cdm walivyo wa hovyo, hii nayo watakataa.

Siasa rahisi za matukio, badala watueleze ilani yao inasemaje kuhusu nishati, wanapuyanga tu
 
Hakuna mwenye tatizo na utajiri wa halali, Ukiona una utajiri ambao unaogopa kufahamika unao hasa baada ya kupata madaraka, hilo ni tatizo.
 
Mbona umepanick, unatunzwa na Mwigulu nini?
 
Watu wana maneno,eti pepo la umasikini.Kwahiyo sisi tunavyohaha huku kitaa ina maana wote tuna mapepo....
 
Asante kwa kuumaliza utata huu na ili kuwafunga kabisa watu vilomolomo, elezea thamani ya mabasi hayo, na sources of fund za mmiliki, ili kuondoa possibility ya silent partners ambao wanatoa pesa zao bila majina yao kuonekana.

P
Kaka hilo nieneo korofi, hizo taarifa huwezi kuzipata.

Sent from my SM-N985F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…