Mmiliki wa Shule za Tusiime jitafakari na uwalipe wafanyakazi stahiki zao

Hakuna shule ambayo inafukuza walimu kama tusiime.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walimu wanatakiwa kujua kuwa wanalipwa kutokana na ADA za wazaz wanazolipia watoto wao. Sas kwa mda huu wazaz hatulipi sabab watoto wetu hawapati huduma. Wafanyakaz wajue WAAJIRI wa ndo wenye stress zaidi. Wengine wamejenga hizo shule kwa mikopo ya shule. Sas hakuna marejesho ya mikopo. Mabenk hayajui excuse ya Covid 19 watakwambia tafuta plan B tuletee marejesho..Waajili hawawafanyii mtima nyogo ni mtikisiko wa dunia ndo chanz. Vumilieni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaposema ya muda mfupi unajua hii hali itaisha lini?
Hata stimulus package ambazo serikali za ulaya na matekani hutoa private sector huangalia survival time sio corona imekuja Leo kesho unataka stimulus package !!!!!
 
Tusiime ina source moja tu ya mapato ambayo ilishafungwa tangu tuna cases 3 tu.
Serikali ina sekta kibao bado zinafanya kazi na kodi zinalipwa.
Huwezi force vitu vifanane na kama serikali unasema haijakopa hela kwa ajili ya kutibu wagonjwa sijui wabunge, si inataka mkopo kwa ajili ya matatizo ya kiuchumi yanayokuja. Tusiime wakope benki gani itakayokubali sasa.
 
Hata stimulus package ambazo serikali za ulaya na matekani hutoa private sector huangalia survival time sio corona imekuja Leo kesho unataka stimulus package !!!!!
Naona umeniletea tena mambo ya stimulizi, embu kuwa kama mtu mwenye akili... nimeuliza hivi...

"Unaposema ya muda mfupi unajua hii hali itaisha lini?"

Naomba majibu.
 
Mkuu,mambo mengi muda mchache,Vipi wanafunzi bado wanalipa ada katika kipindi hichi?Serikali inabidi sasa ianze kulipa mishahara hio maana yeye kashindwa
 
Naona umeniletea tena mambo ya stimulizi, embu kuwa kama mtu mwenye akili... nimeuliza hivi...

"Unaposema ya muda mfupi unajua hii hali itaisha lini?"

Naomba majibu.
Analazimisha mfanyabiashara awe na akiba lakini mwajiriwa asiwe nayo.
Mwajiriwa akikopa milioni 2 benki, mwajiri anaweza kopa milioni 900 kuendeleza uwekezaji. Watu wanahesabu hela zinazoingia tu utadhani ni rahisi hivyo.
 
Yes mkuu shule inawanafunz zaid ya elf mbili wa primary sijajua wa secondary

Walimu

Wapishi

Madreva wa school bus makonda

Cleaners

Bursers

Walinz

Huenda wanafika

Sent using Jamii Forums mobile app


Akili hana
Kama makampuni yanaoyoingiza mabilion Kwa siku kama voda na Tigo..hayaajiri madereva na cleaners..

Yeye ilikuwaje akaajiri Hadi cleaners?
Why asitumie basi za kukodi?

Anatakiwa kuajiri walimu wasiozidi 50 na wapishi Tu ..

The rest ni matatizo ya kujitakia
 
ujumbe wako utawafikia
 
Hapa ni kukaa chini muajiri/muajiriwa na kuja na win win situation. Mwalimu anadai alipwe mshahara wakati hajaingia darasani kufundisha na mwajiri anadai hana pesa ya kumlipa kwa sababu chanzo chake cha mapato kimesimama. Wote wapo sahihi. Mwalimu anafikiri mwajiri ana pesa nyingi za ziada lazima amlipe hizo na au akakope bank ili amlipe. Ila ni mara chache kumpata mfanyabiashara mwenye excess capital kwa ajili ya kusubiri majanga kama corona (ingawa kwa jicho la mwalimu linaona huyu jamaa ni tajiri sana ila hajui source of capital yake ni ipi na anaifinace kivipi)). Na wala hakuna benki itakayomkopesha bila kuwa na business plan inayo onyesha atalipaje hilo deni. Kwanza haijulikani huku kufungwa kwa shule kutaisha lini. Hata angeweza kulipa nusu mshahara (ambao kwa atitude ya hao walimu sidhani wanawesa kuukubali) atalipa hadi lini kama siyo kudrain accounts. Kwa mwajiri priority ni kulinda capital ili baada ya corona biashara iendelee. Kwa mwalimu hajali kama bishara itafungwa baada ya corona ili mradi amelipwa mshahara hata kama mtaji utatumika kumlipa maana ataenda kutafuta ajira kwingine. Kila upande unazo sababu za kulinda upande wake na zote zina mashiko.

Ila sasa mwisho wa siku ni lazima muafaka ufikiwe baina ya pande zote mbili. Lazima wote wajue hili ni janga na halijulikani mwisho wake na pande zote hazijahusika na ujio wa janga. Wajue kila upande una changamoto zake na wachore mstali unao wafanya wote waishi katika kipindi hiki. Mwisho wa siku mwenye shule hawezi kulipa zaidi ya uwezo wake. Ni serikali tu yenye uwezo wa kuwalipa wafanyakazi hata katika mazingira haya. Suala la stimulus package kwetu ni ndoto. Marekani Raisi kaidhinishiwa US2.5 trilion kwa tatizo kama hili na vile vile wana unemplyoment benefit . Nasikia hili neno linaimbwa na NSSF na wenzake. Hapa ndo pangekuwa na jibu badala ya kumbana mwajiri na mabo yangekuwa shwari. Basi kaeni mzungumze mkubaliane na mwajiri. Options ni mbili zenye maamuzi magumu kwa pande zote.
1. Termination of the contract by either party - Worse case scenario; itamfilisi mwajiri na kuwafanya waajiriwa kupoteza ajira
2. Kuwa na retention arrangement, walimu wakubali likizo bila malipo ila mwajiri atoe chochote kwa jina watalokubaliana nalo hata kama ni kidogo kuwezesha kuishi wakati utaratibu wa kufungua shule ukisubiriwa. Walimu wakubali kuwa this is not life as usual na wafunge mikanda kama ilivyo kwa secta zingine kama utalii, usafiri, baa,mahoteli nk. Kote kumepigwa.
 
Wamiliki wengi wa mashule hawatambui haya.

Haiwezekani shule ishindwe kuwalipa mishahara walimu ndani ya mwezi mmoja tu.

Je, Corona isipoisha ndani ya mwaka mzima?

Si atakufa na familia yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ipi unayoiongelea?

Hii inayokula rambirambi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo St Anne Marie mshahara wa March miaka yote huwaga ni shida mshahara wa December nao ni shida wanalipwa robo robo mpaka shule zikifunguliwa.
Sasa pata picha kipindi hiki.
Wamiliki wengi wa mashule hawatambui haya.

Haiwezekani shule ishindwe kuwalipa mishahara walimu ndani ya mwezi mmoja tu.

Je, Corona isipoisha ndani ya mwaka mzima?

Si atakufa na familia yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…