Mmiliki wa Shule za Tusiime jitafakari na uwalipe wafanyakazi stahiki zao

Tusisime anaaibisha taasisi yake, taasisi yoyote ile huwa ina hela ya akiba kwa mwaka mzima..

Shule hii ni ya kitambo saana, inakuwaje inakosa hela ndani ya miezi miwili ya mwanzo shida ipo wapi..inatakiwa serikali iingilie kati..huu ni uhuni, wakague account za shule na itozwe penalti huu narudia tena ni uhuni uliopita kiasi

Tusiime ina uwezo wa kulipa mishahara kwa muda wa miezi 4 bila shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujawahi kufanya biashara wewe.naona unaropoka tuu.hapa Kwanza alitakiwa kupunguza wafanyakazi.unalinganisha shule binafsi naa serikali una akili wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo cha msingi serikali itoe fao la kujitoa kwa waajiriwa secta bnafsi wote waliotemeshwa mzigo,ila kwa serikali za kiafrica msitegemee serikali kutoa luzuku kwa sclecta bnafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hii corona itasaidia watu kutia hakiri sasa,hasa wajiriwa,muwe watu wa kujiongeza siyo kutegenea mwajiri tuuu,mwajiri ana malengo yake, vyuo mlienda ili viwasaidie,most of employees wanatumia pesa vibaya ukilinganisha na wafanyabiashara,mtu akipata salary kutumbua 70 siku moja bar na washikaji kawaida,ika kwa mjasiliamali ni sumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiii taasisi ina shida ilimtelekeza best yangu Silunka sina hamu nayo.
 
Kazi isiyoweza kukusaidia kipindi kama hiki cha majanga ni sawa na kutokua na kazi,hivi mkulima wa bustani ana amani kuliko mtumishi wa sekta binafsi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatakiwa kulipa watu mishahara..Labda afuate taratibu za kisheria za retrenchment ambazo ni shirikishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unauhakika PAYE na other taxes zinapelekwa kikamilifu?
Hiyo taasisi inachezea sana PAYE. Ukija idadi ya wanafunzi ndo kabisa inapunguzwa ili kupunguza mapato ya kodi.
Ni madudu kibao.
Poleni
Kwani uwa haikaguliwi ? Na maofisa elimu na tra ?
 
Hyo mmiliki Ana akili ya kitapeli...yeye si mfanye biashara ya elimu kwanini askubali biashara ina Faida na hasara..Tajiri mkubwa anashindwa kujua haki ya waajiliwa wake ambao wengi ni hawana kitu...hapo lazma awajibike eidha auze mali apate cha kuwalipa watumishi..haiwezekani awaze Faida tu na ada kubwa wanazowapga watu ..4m ada kw kichwa haingii I akilini kushindwa kuwapa watu pesa zao..uza mali kupisha kipindi cha mpito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko marekani zaidi ya waafanyakazi million 16,wamepoteza ajira.Serikali ndio imeamua kuwapa benefits.Sasa Kwa tajiri WA kibongo ndio akulipe Tu mshahara huku hajui janga litaisha lini?Wakae wamuombe boSs wao mkopo wa kujikimu wa mwezi mpaka shule zitakapofunguliwa.Nawajuaji Corona ikiisha nao vibarua vyao vitaota nyasi,unafikiri Kwa nini walinzi na wapishi kashamalizana nao,ni Kwa sababu MTU anaangalia alikotoka na anakokwenda.
 
Hali sio nzuri, ni vyema ukitoa hekima kutumika kwa mwajiri lakini pia walimu ni vizuri wapime uhalisia. Tulipoambiwa madhara ya corona si ugonjwa tu hatukuelewa lakini impact ndio kwanza zinaanza.

Kwenye hili wamiliki watapita kwenye magumu mengi, baada ya mgogoro na waalimu ipo kazi pia upande wa wazazi kulipa ada shule zitapoanza. Serikali iangazie hili kwa haraka na hekima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa unaongea vitu irrelevant kabisa sidhani ata kama umewahi kufanya biashara yoyote. Yani uko too much theoretically
Kama unaamini kinacho ipandisha shule ni walimu tu peke yao basi Pole sana
 
Aisee ...tuna safari ndefu sana! Kwahiyo auze mali zake sio? Wewe unaweza kuuza vyako kwaajili ya jirani yako tu mwenye njaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unaumwa wewe, huyo mmiliki wa hiyo shule atapata wapi pesa za kukulipeni mishahara wakati hakuna kinachoingia shuleni? Ungetuambia kuwa wazazi bado wanatakiwa na wanalipa ada ningekuelewa, au unategemea huyo "mhaya" akakope ili awalipe nyie mishahara?
Subiri kidogo tu, utasikia hata jiwe anawapa likizo za bila malipo waalimu wa shule za serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…