Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

Pamoja na tahadhari zote, ni vigumu sana kuushinda ugaidi kwa asilimia 100. Kumbukeni magaidi uchwara yalivyoua kule Kibiti. Yaliua mpaka polisi. Yaliua padre kule Zanzibar. Na bado yanaua huko Msumbiji. Na kote yanasema kuwa yanatenda hayo yote kwa jina la Allah.
 
Hata siku moja usimwamini shetani. Shetani hana rafiki.
 
Pole kwa familia yake na wote walioguswa na msiba...

Inasikitisha lakini kiuhalisia taarifa hizi zilikuwa zinatarajiwa sababu ya stori mbaya mbaya zinazotokea huko...

Maana hata kama wangekuwa mateka, lakini kwa ile mikombora ya IDF ni wazi kuna mateka waliopatwa na umauti...
 
"Wizara itaendelea kuwaailiana na Israel ili kuhakikisha Watanzania wote wanakuwa salama"
Nje ya mada: Kijana alifia Gaza au Israel?
Kifo chake kimetokea lini na sababu ya kifo ni nini?
Ikiwa taarifa imetolewa na Israel basi Israel ndiyo wenye mwili na ndiyo waliosababisha kwa zile oparesheni zao za kuonesha ubabe baada ya kufeli,piga mabomu hovyo
 
Kwa vyovyote vile huyu atakua kauwawa na magaidi ya IDF kwa airstrikes nilivyofuatilia hii vita Hamas wanapigana kistaarabu sana. Jamani kama kuna muislamu humu aniambie taratibu za kusilimu . Takbiiiiriiiii
Ukiwa umeamini kwa dhati kwamba hakuna Mungu apasae kuabudiwa zaidi ya Allah na kwamba Muhammad ni mtume wake,basi tayari ushakua muislam,ile kwenda kusilimushwa ni ili waislam wenzio wakujue
 
AZAM media tunawaheshimu lakini ACHENI UPUUZI WENU, Ameuawa na magaidi wa kislamu wa HAMAS alafu mnaanza kusema nye nye nyeeee!
Habari zimetoka Ghaza au Israel?

Huyo kauliwa na wajomba zake "Mungu" wenu.

Kazi ya wajomba wa Mungu haina makosa.
 
Hamas ni Majini si watu wale.... Ni wanyama na zaidi ya wanyama. Wamemuua kijana wetu aliyeenda kupata Elimu ya kilimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…