Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Pamoja na tahadhari zote, ni vigumu sana kuushinda ugaidi kwa asilimia 100. Kumbukeni magaidi uchwara yalivyoua kule Kibiti. Yaliua mpaka polisi. Yaliua padre kule Zanzibar. Na bado yanaua huko Msumbiji. Na kote yanasema kuwa yanatenda hayo yote kwa jina la Allah.Hivi serikali yetu haitoi security alert kwa wananchi wa Tanzania hasa inapotokea migogoro kama hii ya kivita, kuzuia wananchi wasiende kwenye nchi zenye machafuko ambapo kuna terrorist attack, kidnapping na vita? hili suala inabidi tuliangalie kwa umakini.