Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

Hawa magaidi wa Hamas washenzi sana.

R.I.P Clemence

God Bless 🇮🇱
Umeona huo uchungu uko nao sababu ya kifo cha mwamba ndio uchungu watoto wa Palestines wanao kwa Israel.
 
Hoja hapa sio utaifa au uafirika hapa hoja ni maisha ya watu ,hii tabia ya kuona maisha ya jamii fulani yana thamani kuliko ya jamii nyingine ndo chanzo cha hii vita inayo endelea.
Wauwaji wakubwa nyie!
Hii ni ya jana tu.
Na hapa ni Afghanistan hao wanaochinjwa ni wa missionary wa kikristo.
Hii jamii ni kaka zake shetani
 
Hivi wakati Yaser Arafat akiwa Kiongozi wa Palestine,Hamas walikuwa wanamuunga mkono au hapana?

Nauliza hivi Kwa sababu Nina hakika Serikali yetu ingepitia Iran ambako tuna mahusiano mazuri wao Iran wangewatafuta Washirika wao Hammas wangeqaachia Vijana Wetu.

Nini kilifanya Hammas Wateke Watu wasio Wayahudi?
Hammas wanaugomvi gani na Watanzania mpaka Wateke Raia wetu?
 
Kwenye ambush wanakaguaga vyeti? Nani amemuua Kijana Wetu?

Jibu lipo wazi.
Aliyemteka ndiye Kamuua.

Hiyo ambush unayoisema, inaruhusu kuwafanyia Raia au wanajeshi?
Kulingana na sheria za kimataifa au dini unayoiamini.
Majibu yako ndio yataonyesha haki unayo au nawe ni wadhulumati kama walivyowengine
 
Toa ujinga hapa.Waliouwawa na Hammas wako kwenye orodha rasmi huyu kauwawa na Israel Kwa losing Cha oparesheni ya kukomboa mateka.
 
Mjinga atajulikana hapahapa kwenye mjadala.
Mtoto wako katekwa na majambazi(uhalifu) wewe unaenda kuwakomboa katika kuwakomboa Majambazi wanarusha risasi kukuzuia, nawe unajaribu kupambana. Inatokea mtoto wako amekufa. Nani yupo responsible na kifo cha huyo mtoto?

Mfano wa pili,
Umepigwa risasi labda kifuani. Umepelekwa hospitalini. Daktari katika hali ya kukutibu ikatokea ukafariki. Nani yupo responsible na kifo chako?

Mwanzo nikakuuliza, kwa nini Hamas wameteka Watu wasiohusika?
 
Kifo Cha huyu dogo ndio kimefanya ni feel maumivu wanayopata Wapalestina Kwa kunyanyaswa na kuuwawa ndugu zao na Israel.

Nimeelewa kwamba haitakuja kutokea amani hapo Kwa sababu Nguvu ya Kisasa inakuja unatamani Bora ufe kuliko kumuona mtesi wako.
Hivi unaakili kweli, yaani Hamas wawaue mateka alafu uilaumu israel. Tulipaswa kusema mapema hamas iachie mateka lakini serikali ilikaa kimya
 
Wapi Hamas walipotangaza kuua mateka au umesikia wapi Israel.ikisema Hamas wameua mateka?
 
Mjinga atajulikana hapahapa kwenye mjadala.
Mtoto wako katekwa na majambazi(uhalifu) wewe unaenda kuwakomboa katika kuwakomboa Majambazi wanarusha risasi kukuzuia, nawe unajaribu kupambana. Inatokea mtoto wako amekufa. Nani yupo responsible na kifo cha huyo mtoto?

Mfano wa pili,
Umepigwa risasi labda kifuani. Umepelekwa hospitalini. Daktari katika hali ya kukutibu ikatokea ukafariki. Nani yupo responsible na kifo chako?

Mwanzo nikakuuliza, kwa nini Hamas wameteka Watu wasiohusika?
Mateka hakombolewi kwa risasi ndio maana ni mateka,they demand something else Ili wamuachie.

Wapi uliwahi kuona mateka anakombolewa Kwa risasi?

Toa ujinga wewe kaandike mada zako za Wanawake na Ndoa ndio unaelewa huku unapuyanga.

Haya Sasa waambie Israel watupe Kijana Wetu waliyemkomboa.
 
Mateka Wa Israel pale Uganda walikombolewa Kwa akili zako hizo kisoda?

Kwenye huo ujinga unaousema, najua huwezi kujibu swali hili.
Ni sheria ipi waliyoitumia Hamas kuteka Raia wasiohusika kwenye vita yao?
Wewe unapuyanga tuu.

Kama wewe sio mjinga embu jibu swali hilo.
 
Back
Top Bottom