Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Umeona huo uchungu uko nao sababu ya kifo cha mwamba ndio uchungu watoto wa Palestines wanao kwa Israel.Hawa magaidi wa Hamas washenzi sana.
R.I.P Clemence
God Bless 🇮🇱
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona huo uchungu uko nao sababu ya kifo cha mwamba ndio uchungu watoto wa Palestines wanao kwa Israel.Hawa magaidi wa Hamas washenzi sana.
R.I.P Clemence
God Bless 🇮🇱
Ni kweli inasikitisha sana. Tutakutana njia panda siku ya hukumu ya haki.Inasikitisha
Poleni wafiwa
R.I.E.P. Kijana
Jibu swali wewe fala,Hamas wamenteka ,aliyemuua ni nani Kwa kisingizio Cha kutoka mateka?Israel ndiyo waliomteka na kumpeleka Gaza!!!?????????!!!! Walaaniwe mabwana zenu Magaidi wa Hamas
Jibu swali,nani kaua Kijana Wetu?Mbona unapanic
Kuna mazuzu hawataielewa comment yakoIsrael ilaaniwe Kwa kusababisha Kijana Wetu kupoteza maisha.
Wauwaji wakubwa nyie!Hoja hapa sio utaifa au uafirika hapa hoja ni maisha ya watu ,hii tabia ya kuona maisha ya jamii fulani yana thamani kuliko ya jamii nyingine ndo chanzo cha hii vita inayo endelea.
Dah!...hii ni nchi gani wanafanya haya ?
Hivi wakati Yaser Arafat akiwa Kiongozi wa Palestine,Hamas walikuwa wanamuunga mkono au hapana?
Nauliza hivi Kwa sababu Nina hakika Serikali yetu ingepitia Iran ambako tuna mahusiano mazuri wao Iran wangewatafuta Washirika wao Hammas wangeqaachia Vijana Wetu.
Kwenye ambush wanakaguaga vyeti? Nani amemuua Kijana Wetu?Nini kilifanya Hammas Wateke Watu wasio Wayahudi?
Hammas wanaugomvi gani na Watanzania mpaka Wateke Raia wetu?
Kwenye ambush wanakaguaga vyeti? Nani amemuua Kijana Wetu?
Toa ujinga hapa.Waliouwawa na Hammas wako kwenye orodha rasmi huyu kauwawa na Israel Kwa losing Cha oparesheni ya kukomboa mateka.Jibu lipo wazi.
Aliyemteka ndiye Kamuua.
Hiyo ambush unayoisema, inaruhusu kuwafanyia Raia au wanajeshi?
Kulingana na sheria za kimataifa au dini unayoiamini.
Majibu yako ndio yataonyesha haki unayo au nawe ni wadhulumati kama walivyowengine
Ulaaniwe wewe, kwani Israel walimtrka nyaraIsrael ilaaniwe Kwa kusababisha Kijana Wetu kupoteza maisha.
Toa ujinga hapa.Waliouwawa na Hammas wako kwenye orodha rasmi huyu kauwawa na Israel Kwa losing Cha oparesheni ya kukomboa mateka.
Hivi unaakili kweli, yaani Hamas wawaue mateka alafu uilaumu israel. Tulipaswa kusema mapema hamas iachie mateka lakini serikali ilikaa kimyaKifo Cha huyu dogo ndio kimefanya ni feel maumivu wanayopata Wapalestina Kwa kunyanyaswa na kuuwawa ndugu zao na Israel.
Nimeelewa kwamba haitakuja kutokea amani hapo Kwa sababu Nguvu ya Kisasa inakuja unatamani Bora ufe kuliko kumuona mtesi wako.
Wapi Hamas walipotangaza kuua mateka au umesikia wapi Israel.ikisema Hamas wameua mateka?Hivi unaakili kweli, yaani Hamas wawaue mateka alafu uilaumu israel. Tulipaswa kusema mapema hamas iachie mateka lakini serikali ilikaa kimya
Mateka hakombolewi kwa risasi ndio maana ni mateka,they demand something else Ili wamuachie.Mjinga atajulikana hapahapa kwenye mjadala.
Mtoto wako katekwa na majambazi(uhalifu) wewe unaenda kuwakomboa katika kuwakomboa Majambazi wanarusha risasi kukuzuia, nawe unajaribu kupambana. Inatokea mtoto wako amekufa. Nani yupo responsible na kifo cha huyo mtoto?
Mfano wa pili,
Umepigwa risasi labda kifuani. Umepelekwa hospitalini. Daktari katika hali ya kukutibu ikatokea ukafariki. Nani yupo responsible na kifo chako?
Mwanzo nikakuuliza, kwa nini Hamas wameteka Watu wasiohusika?
Kweli,ah vita Haina macho walisema waswahili.View attachment 2816841
22 yrs old, My deepest sympathies to you and your family, kijana kabisa anaetegemewa na famiia na Taifa kwa ujumla. Clemence Felix Mtenga RIP my little brother.
Mateka hakombolewi kwa risasi ndio maana ni mateka,they demand something else Ili wamuachie.
Wapi uliwahi kuona mateka anakombolewa Kwa risasi?
Toa ujinga wewe kaandike mada zako za Wanawake na Ndoa ndio unaelewa huku unapuyanga.
Haya Sasa waambie Israel watupe Kijana Wetu waliyemkomboa.
Hiyo ni Afghanistan ilikuwa juzi.Dah!...hii ni nchi gani wanafanya haya ?