Mnafanya kosa kubwa kufanya hivi katika ndoa na kwingineko. Hii haikuwa imepangwa kuwa hivi. Tuna force tu na haya ndo matokeo yake

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Style ambayo tuliumbiwa kufanya mapenzi ni missionary position tu. a.k.a kifo cha mende. Hii ndo ukiangalia maumbile yetu ndo yalitengenezwa kwa ajili ya style hiyo.

We angalia tu....imagine mwenyewe. Na wanawake wengi wanafurahia hii kuliko nyingine yoyote. Uliza wakuambie.

Hizo za doggie, kibajaji mtaroni,kitambaa cheupe sijui,mbuzi kagoma,mwana ukome,mkwezi style..

Zote hizo ni dhambi hata kama mmeoana. Si sahihi. Na hata kuweka ufundi mwiiiiiingi nako si sawa. Inatakiwa mtu anaingiza ana pump anamwaga sperms mimba inapatikana basi. Mnasubiri tena next season.

Sasa akina dada mnapofanya kiuno kama feni mbovu,mnapomkalia juu mwanamume ndo tayari mwanaume anamalizwa uanaume wake hakuumbwa kukaliwa juu. Hapo ndo shida zinaanza mnasema siku hizi wanawake wametukalia vichwan kumbe tunayataka wenyewe.

Mwanaume unatakiwa uwe juu ili ukimwaga shahawa mwanamke apokee. Sasa wewe unamweka juu... Anakumwagia zake na zako anakurudishia mwishowe mnajikuta hata mimba hamtii... Mwishowe sasa yeye anakuwa juu yako.

Acheni hayo mambo... Acheni kabisa. Fuateni maumbile.
 
Viumbe wengine ndio wameumbiwa hivyo, kujamiiana kwao ni kwa ajili ya kuzaliana

Sisi lile tendo ni kwa kuzaliana na starehe, sisi tuko flexible, tunaweza kaa vyovyote inavyokosha nafsi
 
Sisi kama wanaadamu tumefikia hatua kubwa sana ya maendeleo na hiyo Sex inafanya kazi zaidi ya ile ya kuzaliana.

siku hizi inafanya zaidi kazi ya burudani kuliko ile ya kuzaliana, na burudani ina mambo mengi na mitindo au style ni sehemu ya hayo mambo mengi...

Wacha vijana kwa wazee wavinjari maisha kwa mitindo mipya kila uchao

PS: Mkuu hebu nidokeze kidogo kuhusu hiyo ya ‘Kitambaa cheupe’ ndo kwanza naisikia leo.
 
Hii imekaa spiritual Zaidi.
Unapomgeuza juu chini.
Yaani mke awe juu mume chini(hasa kwa wana ndoa tu)
Ki roho unakuwa una kabidhi mamlaka kwa mwanamke.
Matokeo hayawezi kutokea kufumba na kufumbua ila baadae huko mbeleni,Mwanamke atakuwa na nguvu kubwa ya kukudhibiti kimaamuzi kuliko kawaida.
Ukinielewa tangu sasa iache hiyo style.
Mambo mengi yanaanzia mwilini kwenda rohoni na kurudi mwilini.
Mengine yanaanzia Rohoni yanakuja mwilini kisha yarudi Rohoni.
Mfano.
Nafsi Kabla kabla haijawa mtu ,huanza kujengwa Rohoni ikikamilika inaletwa kuwa mwili ikimaliza mission ina rudi(Kufa) Rohoni.
Matendo kama ni Mkorofi,
Ukorofi unaanzia mwilini, unakomaa unaenda Rohoni kuimarisha Ukatiri kiwango cha kuweza hata kuua/kutoskia huruma kabisa, Kisha yanakuja mwilini tena.
Hapo ndo utashangaza jamii unayoishi nayo.
 
Hata missionary ukiichambua kiroho Ni kujishusha kwa mwanaume mbele ya mwanamke,, maana kumbuka ukiwa unaanza ni kama unaipigia magoti yani unaisujudia k, unakabidhi mamlaka yako yote kwa 'K'
 
Eeh,!!
Sasa tufanyeje?
 
Sex position inatokana na maumbile ya mtu mkuu, hivyo mtu akibadili mkao ndio mwili UNATAKA
 
Hata missionary ukiichambua kiroho Ni kujishusha kwa mwanaume mbele ya mwanamke,, maana kumbuka ukiwa unaanza ni kama unaipigia magoti yani unaisujudia k, unakabidhi mamlaka yako yote kwa 'K'
Yes umeongeza penyewe kabisa.
Kila kitu kisipo fuata kanuni,unavunja protocol.
Kuvunja protocol ni kosa la kujitakia.
 
Style ambayo tuliumbiwa kufanya mapenzi ni missionary position tu. a.k.a kifo cha mende. Hii ndo ukiangalia maumbile yetu ndo yalitengenezwa kwa ajili ya style hiyo.

We angalia tu....imagine mwenyewe. Na wanawake wengi wanafurahia hii kuliko nyingine yoyote. Uliza wakuambie.

Hizo za doggie, kibajaji mtaroni,kitambaa cheupe sijui,mbuzi kagoma,mwana ukome,mkwezi style..

Zote hizo ni dhambi hata kama mmeoana. Si sahihi. Na hata kuweka ufundi mwiiiiiingi nako si sawa. Inatakiwa mtu anaingiza ana pump anamwaga sperms mimba inapatikana basi. Mnasubiri tena next season.

Sasa akina dada mnapofanya kiuno kama feni mbovu,mnapomkalia juu mwanamume ndo tayari mwanaume anamalizwa uanaume wake hakuumbwa kukaliwa juu. Hapo ndo shida zinaanza mnasema siku hizi wanawake wametukalia vichwan kumbe tunayataka wenyewe.

Mwanaume unatakiwa uwe juu ili ukimwaga shahawa mwanamke apokee. Sasa wewe unamweka juu... Anakumwagia zake na zako anakurudishia mwishowe mnajikuta hata mimba hamtii... Mwishowe sasa yeye anakuwa juu yako.

Acheni hayo mambo... Acheni kabisa. Fuateni maumbile.
Ni wapi pameandikwa style maalumu ya kufanya tendo?
 
Hata missionary ukiichambua kiroho Ni kujishusha kwa mwanaume mbele ya mwanamke,, maana kumbuka ukiwa unaanza ni kama unaipigia magoti yani unaisujudia k, unakabidhi mamlaka yako yote kwa 'K'
Kila kitu kina maana

Na maana inaweza kuwa yyt ile kutokana na anaetoa maana
 
Back
Top Bottom